Kwanza naomba radhi kwa hili nitaloeleza hapa maana naenda kinyume na codes za kiume "What happens in Vegas stay in Vegas" Sio vizuri sana kuzungumza mambo yako yahusishayo wanawake mitandaoni...
Salute,
Kwa vijana wote specifically wa kiume waliozaliwa mwaka 1990s ambao wanataka kuingia maisha ya ndoa. Basi wajitatahidi sana kuzingatia mambo haya wakati wanapochagua wenzi wao wa maisha...
KAMA FAMILIA YENU MNAISHI KWA UPENDO, MSHUKURUNI SANA MUNGU.
Miaka ya nyuma pindi tunakuwa kwa kiasi kikubwa familia nyingi zilikuwa na upendo, maelewano, na kutembeleana mara kwa mara.
Lakini...
Habari za asubuhi jamani
Kama nilivyoanza kuandika hapo juu nilitokea kumpenda mwalim x kutoka sehem k baada ya kumpenda nilimfuata na kumweleza nia yangu na yeye hakusita kusema keshavutiwa...
Katika jamii nyingi, suala la kutopata mtoto limekuwa likihusishwa zaidi na wanawake, jambo ambalo limeendelea kuwa chanzo cha lawama, presha na unyanyapaa kwa wanawake wanaochelewa kupata watoto...
Wanawake wana 100 miles tricks na wala hupaswi kuwahurumia hataa kidogo. Kuna tabia za wanawakee kuwapangia waume zao ratiba ya kuichapa. Mwanaume stuka the moment ukiwa na hamu yeye tayari...
nilianzisha mahusiano na mdada mwenye mtoto mmoja na aitelekezwa nikawa namjali sana huduma kila siku baada ya miezi 2 nikaomba penzi...we akasema sawa siku ya mechi kasema nitume hele ya mtu wa...
Utu uzima dawa! Mnakopita sasa sisi tulishapita salama, lakini kuna uhitaji wa kukumbushana machache, kupeana mbinu na kutiana moyo pia (hapa kwa sehemu hata wadogo zangu wa kike watahusika)...
Maneno maarufu ya kibwagizo cha wimbo wa zamani wa Ottu Jazz, “Nakupa talaka kwa shingo upande…” yaliyompata mwimbaji TX William Moshi, leo yanadhihirika kuwa halisi iliyotawala familia nyingi...
Katika mapenzi licha ya purukushani zote zinazotokea but still kuna mazuri ambayo Ex anakuachia yanakua chachu ya ww kumkumbuka.
Mimi Ex anilifundisha kujituma na kutafuta hela... Alikuwa...
Habari za humu wakuu
Nilijieka kwa mdada fulan hivi ila hatukudumu Sana mahusiano yakapotea tu ghafla, japo haikuwa kuachana rasmi. (Mimi ni mme na baba wa familia)
Sasa wiki mbili zimepita wife...
Huruma siyo malezi
1.unamlea mtoto au wew ndo unaendeshwa na mtoto? Unamlea siyo kwa misingi ya dunia unafanya vitu ili upendwe na mtoto mwisho wa siku anakudharau hata kama nikifanya hivi...
Hili ni jukwaa la watu 18+ so admins mtuchukulie hivyo maana hamchelewi kujecha andiko langu
Huyu demu alinikaribisha kwake. Nikamwambia mi staki kwenda atanitia majaribuni nisije nikajikuta...
Huyu jamaa amebobea katika mswala ya IT ni ngosha mmoja.kutoka.mwanza kajichukulia jiko kwa raisi.
Lakini kichwani yupo vizuri siyo wa mchezo mchezo ila sasa wasukuma hizi ni sifa.
Jamani, mimi natafuta mchumba wa muda mfupi tukijuana awe mume kabisa sifa ni kama ifuatavyo
1. Umri - kuanzia 36-45
2. Kabila - lolote
3. Dini - Mkristu
4. Mkoa - Dar,Dom, Moro au popote ila...
Katika kutafuta maisha mtu unajikuta umetoka nje ya nchi yako mradi unapata chochote na maisha yanasonga. Baharia niliamua kuzamia huko Swaziland kwa king Mswati huku maisha yako powa ebwane nchi...
Ndugu zangu wana JF baada ya kupambana na maisha kwa mrefu bila kutoboa,na nilishajiapiza kua siwezi kuoa mpaka hali ya Uchumi Ikae Sawa.
Sasa Nimeamua kuteungua Msimamo Wangu Naona Umri Unaenda...
Watanganyika msidanganyike Zanzibar ni nchi ina sifa zote za kuwa nchi tujipange kudai taifa letu la Tanganyika, Zanzibar wana rais, bunge, mahakama zao, vitambulisho vyao vya taifa lao, wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.