Wazee ogopa mungu na tekinolojia. Huyu dada alisema anatumia 200.il kwa siku, hajawahi kula ugali katika maisha yake. Watu sijui wamezoom wapi anagonga ulali na mdudu. Mnaojua location mtuambie...
Nimerudi tena waungwana.
Natarajia kukusanya kitita cha 1.5 milioni kusudi nifunge ndoa na mwanamke ninayemtaka ndani ya miezi 6 ijayo.
Wazoefu, nianzie wapi kusudi nisiingie kwenye ndoa na...
Kutokana na story tulizokuwa tukisimuliwa udogoni kuhusiana na Mombasa kulinifanya niogope kabisa hilo eneo....
Tofauti na siku hizi ambapo dunia iko kiganjani miaka ile ya 70-80 upatikanaji wa...
Ni jambo la kihisia mno, jambo lililo ndani ya moyo kabisa lisilotoka na ambalo hujirudiarudia kila Mara!
Ni kuhusu wema uliowahi kutendewa na mtu baki halafu ukaahidi kimoyomoyo kumlipa lakini...
Udanganyifu katika mahusiano ni kitu kikongwe na kinachopigwa vita duniani kote watu kwa maelfu wamepoteza maisha kutokana na ishu za Udanganyifu wivu na kufumaniwa au kufumaniana
Kwa wasambaa...
kwamba;
1.kuna sehemu inaitwa mwembebasha, ukijipumzisha hapo mchana, lazima utapitiwa na usingizi na ukiamka umelowa makalioni
2; kuna warembo wa kiarabu lakini miguu kwato za ng'ombe
3...
Mimi ni kijana toka mkoa wa Kilimanjaro. umri wangu ni miaka 30s mwishoni. Mchanganyiko wa Kilimanjaro na Singida.
Allahmdulillahi nlifanikiwa kupata rangi ya Mtume. Ni mweupe. Nina watoto 4 kwa...
Mara nyingi utasikia baadhi ya wanawake wakisema wanapenda sana watoto weupe ili wawanyoshe watesi wao yaani wasifiwe watoto wao wazuri.
Lakini cha kushangaza, ukiangalia uchaguzi wao wa wapenzi...
Hapo VIP!
Nimekutana Na mama mmoja wa kizungu ni mtamu balaa kuliko waafrika.
Itoshe kusema wazungu niwatamu kuliko waafrika.
Aliyesema wazungu niwabaridi ni sawa MTU analiyesema sisitaki...
Acha kabisa hii maneno
Kuteseka ni lazima kwa mama hata kwa baba pia
Huruma zaidi huja pale mimba inapomgeukia baba na kuwa kama yeye ndio kaibeba! Yaani vichefu chefu vyote yeye malimao mbilimbi...
Leo ni siku ya kipekee sana kwako. Ninayo furaha sana kukutakia kheri ya kuzaliwa.
Wewe ni zaidi ya mpenzi kwangu, ni rafiki yangu wa kweli, faraja yangu na sababu ya tabasamu langu kila siku...
Happy New Month,
Guys, nilikua Tarime for few days, sasa siku ya jumapili tukasema tujipongeze before hatujaondoka, nikauliza kiwanja kinachobamba nikaambiwa CMG Hotel, wakapasifia weeh sijui...
Picha ya Wasichana kwenye "KONGAMANO LA WASIOOLEWA" lililoandaliwa na Mtumishi wa Mungu Colle Karyn, inaelezwa umri huwa ni miongoni mwa vitu vinavyowanyima usingizi na hupata wasiwasi...
Wataalam wanasema round ya kwanza inaamuliwa na MWANAMUME ila round zingine zooote zinazofuata zinaamuliwa na MWANAMKE.
Kwahiyo ukiona unaenda vizuri round ya kwanza lakini baada ya hapo hauwezi...
Wanaume wasiochepuka wako wengi tu kwenye jamii sema hawazungumziwi sana kama wale wanaochepuka. Niwapongeze sana kwa kujitambua na kuheshimu agano la Ndoa
Inaniwia vigumu kuingia guest na demu Kama Kuna watu kwa nje nabaki najibaraguza.kama demu na mwenyewe Ni muoga Basi inakuwa msala zaidi.nikifikiria kila mtu anaona kabisa Kitu ambacho mnaenda...
Salaam wana JF,
Mara kwa mara nimekuwa nikisikia watu wakisema wanawake weusi ni watamu kuliko weupe, hili lina ukweli wowote? Wakuu kuna mwenye kufahamu ukweli kuhusiana na hili atujulishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.