Bila shaka kila aliyeko kwenye mapenzi ana kiu yakufahamu staili mbalimbali atakazotumia katika uwanja wa huba kumpagawisha mwenza wake, kimsingi kuna staili nyingi sana ijapokuwa nyingi huhitaji...
Wakuu habarini za siku nyingi, poleni sana kwa yaliyotokea.
Kijana mwenzenu nilifunga ndoa mwaka 2021, lakini kutokana na mambo ya ajira mimi na mke wangu tunaishi mbali mbali. Hapo mwanzo...
Mimi nilitongoza kwa mara ya kwanza nikiwa na umri wa miaka 16. Je na ww ulitongoza mara ya kwanza ukiwa na umri gani? Na ulikuwa na hali gani wakati unatongoza, kwa mfano mm wakati na tongoza...
Hapo vip!
Ipo hivi mimi ni mwanaume ambaye mapenzi sana sio kipaumbele kwangu.
Na nikikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi nakuwa na amani na furaha sana kwenye maisha yangu pia nakuwa mtu...
Tangu niyafahamu mapenzi sijawahi kukaa mda mrefu namna hii bila kushiriki, mpaka sasa ni miezi miwili sasa nimejikuta tu nimeshazoea nadhani naweza kumaliza hata mwaka.
Kwako mdau upi ni muda...
kwa wale mliojaaliwa kuwa na mtoto au watoto. Je, ulimpata mtoto wako wa kwanza ukiwa na miaka mingapi ?
Ulipanga au ilitokea kwa bahati tu ?
Swali special kwa wanawake: ulipata mimba kwa mara...
Hongereni wanasimba kwa pira zuri hakika mmeonesha mwanzo mzurii.
Aisee jana baada ya mechi kuisha nilikaa nisikilizie Usiku wa Bongo fleva. Nikaagiza kinywaji ili nivutie muda. Nikapiga konyagi...
Mara ya kwanza kulala na malaya ilikuwa mwaka 2014. Nikiwa nimetoka job nilikutana na mtoto wa baba mdogo (RIP), alikuwa na mshikaji wake wa chuo (Muhaya) sasa wale jamaa mi sikujua plan zao...
Mwanamke wa ndoto yako , ambaye amefika umri wa ndoa, miaka 26- 40 na kuendelea, ukimvisha pete na ukamshika kama huyu mwanangu alivyofanya , hakika , hutokaa kuachika, Furaha ya mwanamke ni ndoa...
Habari, Naomba ushauri wenu moyo unauma sana. Nipo kwenye mahusiano ya mbali (LDR) kwa miezi minane sasa. Nampenda sana huyu mwanaume, kiasi kwamba muda mwingi nautumia kusali, kufunga na...
Habarini wanajamvi #JF
1.Utangulizi
Hii ni true life story ya maisha yangu, nikilenga kutoa ushuhuda wa mambo kadhaa niliyoyafanya katika harakati za kuchakata mbususu. Mimi sio msimuliaji mzuri...
BINTI YANGU; HUWEZI KUWA MCHEPUKO KAMA SIO MALAYA. KILA MCHEPUKO NI MALAYA.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Baba Mkali.
Wala sitakuonea aibu binti yangu. Nitakuambia Ukweli wote.
Ni kweli...
Leo nimekaa nikakumbuka mkasa mmoja uliotokea miaka kadha iliyopita.
Mwaka fulani nikiwa natoka Jeshini (841 KJ- Mafinga) mujibu wa sheria nilibahatika kukutana na zali la mentali hili...
Habari wakuu.
Hivi ulishawahi kupenda mtu,yaani mpaka wewe mwenyewe hujiamini kama upo naye ,ukiombwa chochote , unatoa bila kupepesa macho, na hata kama huna unashindwa kusema, hivi ulitokaje...
Kuna Rafiki yangu wa kike tulikutana Chuo na urafiki wetu ukaanza tangu mwaka wa kwanza mpaka leo. Ni rafiki ambae tumeshibana sana, ananijua kiundani namimi namjua kiundani kuliko ambavyo ata...
MAMAAKE NI SINGLE MOTHER LAKINI KAMKATAZA ASIOE SINGLE MOTHER.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Rafiki Yangu wa shule(A'Level) na chuo kikuu amenipigia akiwa katika hali ya kuchanganyikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.