Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

My Kaka (mama tofauti aka mtoto wa nje) tumekulia na kukaa pamoja alimpa mimba housegirl.By the time kaka alikuwa form five Kwa kumwogopa sana baba akanieleza tumwombe yule housegirl aseme amepewa...
0 Reactions
65 Replies
6K Views
"A good woman is not one size, women say" "Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nyie wanaume mliooa tunaomba mtulie na wake zenu. Kama mlioa kwa bahati mbaya ni juu yenu. Msiwe mnatusumbua wengine kabisa kwanza mnatupa gundu tu ambao hatujaolewa, kaeni ma wake zenu. Nani...
15 Reactions
245 Replies
14K Views
Hii imekaa vipi wakuu!? Kuna dada mmoja hivi, nilionana nae kazini kwangu miaka hiyo, 2018 wakati nipo Dar Es Salaam kipindi hicho. Tukazoeana Sana. Chating kwa wingi mno. Nikaanza kumpenda Ila...
12 Reactions
78 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu. Naomba niende mojakwamoja kwenye mada husika, ni story ndefu lakini nitajaribu kuifupisha. Ni Mfanyakazi mwenzangu, nilishiriki kwenye zoezi zima la kumposa mkewe, mahari na...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
nimemaliza chuo mwaka 2005 . nikafanya kazi maeneo kadhaa wakinizingua naacha. huwa sipendi kuzinguliwa kazini. kwahiyo usitegemee uniajiri alafu ulete za kuleta eti nikuache kama sijakuwamba...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu, Huku tukiutafuta tafuta usingizi hebu tuambiane mahusiano ambayo umewahi kuwa nayo na yakawa mafupi kuliko yote..... Ukitoa sababu ya kwanini mlidumu muda mfupi hivyo itakuwa...
27 Reactions
336 Replies
27K Views
Uchawi wa mwanaume kwa mwanamke upo wa aina 2 tu; 1. Pesa - Hii itamvuta aje kwako. 2. Kumfikisha Mlima Kilimanjaro - Hii itamfanya uingie moyoni kwake sana sana. Sasa ili umfikishe Kilimanjaro...
8 Reactions
48 Replies
5K Views
Naishi kigambon Dar es salam, natafuta mchumba/ mume . Umri wangu ni miaka 23 Urefu wa wastani Elimu - diploma Dini - mkristo Sifa za mhitajika; Awe mstaarabu , mengine ni kadri tutakavyokuwa...
15 Reactions
44 Replies
9K Views
Kumekua na wimbi la akina dada kuzalia nyumbani hasa hawa wa miaka 19-26. Unakuta kijana anajua hana uwezo wa kuhudumia mimba na kuchukua majukumu kama baba lakini anazalisha tu. Kuna hawa jamaa...
11 Reactions
72 Replies
4K Views
Habari waungwana. Hivi kweli unaakili timamu mpaka unatoa figo eti kwa ajili ya kumnunulia mwanamke iphone 14? Ina maana unajikosea adabu kiasi hicho? Ina maana una mkufuru Mungu kiasi hicho...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Nipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest. Ukitaka mwendo tia gia havijileti, kidume nimejikoki kwa pisi kali ya chuo lakini mziki...
12 Reactions
81 Replies
7K Views
Kwa wanaume wote, Usiruhusu manzi akawa rafiki yako kama ulim-approach kwa lengo la mahusiano. Kuwa mwanaume ni TUNU tosha, thamani yako siku zote huongezeka kadri siku zinavyoenda mbele...
7 Reactions
2 Replies
1K Views
Ladies n gents shalom! Aisee nimeamini mapenzi ni unconditionally, unaweza kupendwa na yeyote, popote, na vyovyote. Hivi tulijua kuwa Uwoya angeweka wazi hisia zake za mapenzi kwa Keny...ta? The...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo asubuhi mke wangu, amenipigia simu nimpe ushauri kuhusi hili jambo, kati ya Baba ake na kijana wake wa mwisho (aged 28) Tatizo liko hivi huyu kijana mdogo wake wife kapata wazo la kutafuta mke...
8 Reactions
81 Replies
7K Views
Salamu wa ndugu. Naombeni ambae ameshawahi kupatwa na tatizo kama hili anisaidie. Yaani ni hivi kuna msichana ambae nilianzisha nae mahusiano toka mwezi wa kwanza mwaka huu now anamimba yangu ya...
3 Reactions
92 Replies
8K Views
Unampata mwanaume mchekeshaji ana pesa. Unaenda kutoka tena na mwanaume mkimya hana pesa. Ukimpata mwanaume MKIMYA unaenda kutoka na mwanaume MCHEKESHAJI. Ukimpata mwanaume hana PESA unaenda...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Nilipatwa na mkasa wakuondolewa kazini kwa vyeti feki, uzuri nilikuwa na kijiakiba changu, nikaingia kwenye sekta ya ajira isiyo rasmi. Nikanunua kirikuu na nikawa nalaza hadi elfu themanini kwa...
52 Reactions
157 Replies
17K Views
Demu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k Juzi juzi kaomba nimpatie pesa...
75 Reactions
159 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…