Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika sura yote ya 18 ya kitabu cha mambo ya Walawi kwenye Biblia, Mungu amekataza mambo machafu yahusianayo na ngono ikiwemo kuoana na ndugu wa karibu, ikiwemo pia kulala na wanyama. Uzi huu ni...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Live-in relation ship ni mahusiano ya uchumba wa muda mrefu sana bila ndoa rasmi, na ni zaidi ya uchumba, maana watu huishi maisha utadhani ya mume na mke. Mfano nina rafiki yangu, huyu ni rafiki...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katibu bye bye. Katibu wangu alikuwa mtu wa Songea, Mmatengo, ni mchapakazi hodari sana na anajituma sana. Kilichofanya nimfute kazi kwanza kuanza kumpigia simu mke wa bosi wake saa mbili usiku...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
DUME ZIMA LIMEONGEZA UKUBWA WA KOJOLEO. Unakuta limtu eti limeenda kwa mganga au maduka ya wachina kununua dawa ya kuongeza ukubwa wa uume. Nani alikwambia wanawake wanataka kojoleo kubwa...
2 Reactions
39 Replies
35K Views
Kwenye mahusiano yenye afya, vitendo ndio uuza uzuri wa mpenzi na thamani aliyonayo mpenzi. Vitendo husisimua moyo, akili na viungo vya mwili. Akili uwaza, mwili upokea hisia na ulimi unena...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Naitwa Samweli Naishi Moshi Kabila Mchaga Umri 35 Nina mtoto mmoja wa kiume umri miaka 7 namlea mwenyewe kwasbb mama yake alishafariki kwa ajali. Nahitaji mwanamke atakaekua mke wangu...
3 Reactions
4 Replies
689 Views
Wanandoa wengi wanafanya mapenzi kama jukumu na siyo starehe ya kufurahishana. Na wanaume wengi wamekuwa wabinafsi kwasababu wanafikiria tu mihemko yao bila kujali unayemtumia anahali gani...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
Wapendwa habari za jioni. Bila shaka kila mmoja wetu ameshashiriki Mapenzi mara kadhaa iwe na mke/mume wako au mchumba au mchepuko au Malaya tu. Na kabla ya kumpata ulikuwa umemjengea picha...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Yes, nilimkuta akiwa na mtoto mmoja wa kiume mwenye miaka 6 hivi mumewe akiwa ametangulia mbele ya haki, kilichonivutia mwanamke alikuwa mrembo shape nzuri sura safi rangi natural mpanaji pia ana...
60 Reactions
276 Replies
17K Views
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 23 katika familia yetu tumezaliwa watoto 5 na kwa bahati nzuri sisi wote ni wanaume na mimi ndiyo wa kwanza ndani ya familia yetu. Sisi tuna baba yetu ni mhuni...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Hapo vip! Nimejaribu kuchunguza,nimeona wanawake warembo wanaongoza kuzaa watoto wenye sura mbovu,mbovu. Hivi tatizo ni nini?
2 Reactions
101 Replies
20K Views
Kwa maisha ya sasa na wanawake wengi, utagundua wengi hawatumii au hawana akili. Na ndiyo maana wanajibidiisha sana kwenye muonekano, ila kichwani hamna kitu kabisa. Hopeless. Mwanaume : Fikiria...
9 Reactions
47 Replies
5K Views
Wakuu nisiwachoshe twende moja kwa moja kwenye mada. Huko Kenya kijana mmoja kutoka familia ya kimaskini aliyekuwa ameajiriwa kama mtunza bustani kwenye familia moja ya mboga saba, amejikuta...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
KURINGARINGA KUNAVYOWAPONZA MABINTI.!! Kuringa kwa wasichana wa kibongo ni athari za malezi. Ulaya mtoto wa kike na kiume wanakua pamoja, wanahug, wanakiss, wanacheza pamoja but responsibly coz...
11 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari zenu wana nzengo? Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala...
31 Reactions
124 Replies
8K Views
Wakuu kuna mdada Anadai ana mimba yangu mpaka sasa sijui nifanyeje maisha yangu yenyewe hayaeleweki sijui pakuanzia wala kumalizia. Na binti naye hana mpango wa kuchomoa ushauri ndugu zangu sijui...
5 Reactions
66 Replies
8K Views
Acheni! Acheni! Acheni ulafi wanaume mliooa. Na ndiyo maana mnajifia mapema mnawaacha wake zenu wakiendelea ku enjoy mali zenu na mahawara zao. Komeni kusingizia eti mnarogwa, anawaroga nani...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za saivi ndugu zangu. Dhumuni la kuleta hii mada hapa ni ili kupata msaada wa kimawazo kuhusu binti mmoja tuliodumu kwenye mahusiano kwa miaka minne. Kipindi tunaanza tulikuwa...
11 Reactions
105 Replies
6K Views
Ee bwana ee! Juzi kati katika hali ya kupita pita hivi niko na mchizi wangu, si tukajikuta tumetulia eneo flani tunapiga stori na mrembo flani wa kishua huku tukimwagilia moyo. Nikawa najipigia...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Nataka kuoa, lakini yanaweza yakatokea ya kutokea hivi utaratibu wa kuvunja ndoa upoje? Mliovunja ndoa zenu naombeni uzoefu wenu..
2 Reactions
104 Replies
17K Views
Back
Top Bottom