Ushauri wenu unahitajika, yamenifika kijana mwenzako

Upendo hauna darasa, kama humpendi mtu ni humpendi tu...

Usije ukalazimisha kuona na mtu usiyempenda, ukaingia kwenye mtego wa kujiamnisha utajifunza kumpenda mbeleni...
 
Mjomba hichi ni kipengele..
Hapa naona unauza bunduki na kununua rungu bladihenken.
Yule baby mama wako n tatizo maana unaona kbsa hakupendi wala nini. Yaan this same way you feel abt huyu mwenye mimba, ndivo hvyo hvyo baby mama wako anavyofeel abt wewe.
Ntakushauri kama mwanaume, kitu muhim n kupata mwanamke anaekupenda yeye kutoka moyoni maana huyo atakuvumilia thru up and downs. Hata kama huna hisia, zitafte zije. Huyu mjamzito naona kama vile anafaa lakn yule mama wa mtoto hata ukimleta tena kwanza atakudharau maana ataona kbsa wewe huez ishi bila yeye. Kama kaanza kutiwa mkiwa nae, kama haitoshi akaenda kugongwa na huko kijijin wat makes u think utambadilisha arif?
Mkuu we komaa umchukue mwanao uje uishi nae huku ulipo. Maana yule binti ako possibility n kubwa akiwa mkubwa atafuata tabia za mamaake maana ndo anamlea.
Ukishupaza shingo utaenda kuoa mwenye tako, siku ya kidunia yamekukuta ukashindwa kudindisha, unakuta ameinamishwa anasukumiwa msumari mbele yako.
Akili kumkichwa
 
Sasa ilikuwa ni tamaa ya ngono mpaka ukamleta hapo kwako ama vipi? Kama ilikuwa just a crush kwanini usingepiga na kusepa tu? Mpaka umemkaribisha kwako means you got some feelings for her. What you're supposed to do ni kukumbuka zile good moments ulizokuwa nazo kabla hajadaka huo ujauzito ili kurevive hizo feelings zilizopotea kwasababu ya hali aliyokuwa nayo sasa.
 
Mjomba hichi ni kipengele..
Hapa naona unauza bunduki na kununua rungu bladihenken.
Yule baby mama wako n tatizo maana unaona kbsa hakupendi wala nini. Yaan this same way you feel abt huyu mwenye mimba, ndivo hvyo hvyo baby mama wako anavyofeel abt wewe.
Ntakushauri kama mwanaume, kitu muhim n kupata mwanamke anaekupenda yeye kutoka moyoni maana huyo atakuvumilia thru up and downs. Hata kama huna hisia, zitafte zije. Huyu mjamzito naona kama vile anafaa lakn yule mama wa mtoto hata ukimleta tena kwanza atakudharau maana ataona kbsa wewe huez ishi bila yeye. Kama kaanza kutiwa mkiwa nae, kama haitoshi akaenda kugongwa na huko kijijin wat makes u think utambadilisha arif?
Mkuu we komaa umchukue mwanao uje uishi nae huku ulipo. Maana yule binti ako possibility n kubwa akiwa mkubwa atafuata tabia za mamaake maana ndo anamlea.
Ukishupaza shingo utaenda kuoa mwenye tako, siku ya kidunia yamekukuta ukashindwa kudindisha, unakuta ameinamishwa anasukumiwa msumari mbele yako.
Akili kumkichwa
Nimekupata mkuu, tena sana
 
Ila umenisitua sana uliposema ulikiwa unafanya kazi kwa MTU na binti naye akiwa msaidizi wa kazi kwa MTU,maana kuna binti nipo naye kwenye mahusiano story yake kama hiyo-utofauti yeye mtoto wake ni ME.
 
Wakwe zako pamoja na mzazi mwenzako hawakutaki cha muhimu hapo leo mtoto acha kumuwaza huyo mzazi mwenzako kama angekuwa anakupenda asingeruka na wanaume wengine huko Kijijini. Muombe Mungu kwa imani yako tenganisha hiyo nafsi yako na ya huyo mzazi mwenzako anza kumpenda na kumjali huyo mama kijacho mwanao akikua atakutafuta tu . Usiongee mambo ya mahaba na huyo mzazi mwenzako kama ni pesa tuma kila mwisho wa mwezi wasiliana nae tu pale dharura imejitokeza. Usijipendekeze usipopendwa
 
Mkuu, huwa hata muda wa kuwatafuta sina ila km nilivyoeleza hapo ni kwamba ndoto zikitokea ndo binti huwa ananitafuta na hata mama na baba mkwe simu zao huwa hazikati hadi kuna muda huwa nawablock
 
Back
Top Bottom