Natafuta mchumba/mume

Naishi kigambon Dar es salam, natafuta mchumba/ mume .

Umri wangu ni miaka 23
Urefu wa wastani
Elimu - diploma
Dini - mkristo

Sifa za mhitajika;

Awe mstaarabu , mengine ni kadri tutakavyokuwa tunaendana.
Karibu pm mkuu... CV yako inaridhisha. Njoo tuanze maisha
 
Naishi kigambon Dar es salam, natafuta mchumba/ mume .

Umri wangu ni miaka 23
Urefu wa wastani
Elimu - diploma
Dini - mkristo

Sifa za mhitajika;

Awe mstaarabu , mengine ni kadri tutakavyokuwa tunaendana.
Tukutane PM
 
Naishi kigambon Dar es salam, natafuta mchumba/ mume .

Umri wangu ni miaka 23
Urefu wa wastani
Elimu - diploma
Dini - mkristo

Sifa za mhitajika;

Awe mstaarabu , mengine ni kadri tutakavyokuwa tunaendana.
Tumesoma....
Upo tayari kuishi mkoani
 
Tutakuja mpoteza mwana JF kwa masihara masihara ya watu kujifanya wanatafuta waume.
Kuweni makini msidhani watu wale wameacha kazi za kudaka watu kimafia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom