Tumeporwa mtoto tufanyaje jaman -woga umetuponza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumeporwa mtoto tufanyaje jaman -woga umetuponza

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Marytina, Mar 23, 2011.

 1. M

  Marytina JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  My Kaka (mama tofauti aka mtoto wa nje) tumekulia na kukaa pamoja alimpa mimba housegirl.By the time kaka alikuwa form five
  Kwa kumwogopa sana baba akanieleza tumwombe yule housegirl aseme amepewa na houseboy wetu.Houseboy alikubali haraka tena tukaapizana siri isivuje maishani.

  Wazazi wetu wakamjia juu hg nikamsihi mama asimrudishe kwao bali ampangie chumba atakuwa akija asubuhi.Wakawa wanaishi na houseboy.Kaka na mimi tulijitolea sana kuwasaidia hasa kwa kuwapa stock ya chakula tulichokuwa tunaiba home.

  Now my brother anataka yule mtoto atambulike kwetu, mimi pia namtaka arudi kambi yetu ila baba wa kufikia (former houseboy) katia ngumu vibaya na hataki majadiliano anadai hana uwezo wa kuzaa kwa sasa anaumwa na yuko tayari kuua kama hatutamwelewa
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mwachieni bwana.
  Nyie endeleni kumtunza tu ili apate elimu bora.
  Huyo baba amemzoea mtoto na mtoto kamzoea baba msiwatenganishe kama wanaishi vizuri.
  Pia mwaweza kumharibu mtoto ki psychology so for the best of ya mtoto kubalini matokeo na endeleeni na msaada
   
 3. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  duh!!

  hata ningekuwa mie huyo h.boy nisingekubali!!!
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  unazidi kuniumiza
  kumbuka tuliongea kama black deal na hatukuwa tunammilikisha huyo mtoto.pia akili za kitoto zilituponza ikizingatiwa houseboy alikuwa mkubwa kwetu hatukumburuza kwenye makubaliano.
  Kwa nini asiruhusu ukweli uwe hadharan hata kama ataendelea kumiliki huyo mtoto?
   
 5. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  I'll be back, my comments are reserved.
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Nata ndugu yangu inauma hasa kila napomtembelea huyo mtoto.
  My Mama alikwisha staafu kazi kwa hiyo atampa kampani nzuri mjukuu wake.
  Nakubali na naheshim mchango wa huyu former houseboy kumlea mtoto ila ikumbukwe tuliingia makubaliano kwa nia mjema toka deepest part ya mioyo yetu
   
 7. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Its likmd a movie
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  pls usipotee manake hii ishu ni ya kweli huwa inanifanya niweweseke napozama kuifikiria
   
 9. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mlilipa nini huyu houseboy?
  Lakini for the sake of the child mwacheni kwa huyu kaka ili msinvuruge mtoto kiakili
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kabisa ila nikichanganya mawazo yenu nitafikia muafaka.
  iko komplicated ni aje na kibaya mimi na kaka hatudhubutu kumwadisia watu wa karibu kwani tutazidisha joto la hii issue
   
 11. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  DUH! mtoto ana umri gani?? cha msingi ni kutunza na kumjengea maisha mazuri mtoto! ni swala la muda tu akipata fahamu atawatafuta mwenyewe! lazima kuna ck mama yake atakuja mweleza ukweli! kwa sasa mwachieni mlezi aendelee kufaidi attachment iliyopo kati yao, kwani mking'ang'ania sana anaweza mfanya kitu mbaya huyo mtoto..you know me??? lakini pia huo ndo MSHAHARA wa DHAMBI, Dhambi ya Kuikana DAMU yenu..kwani sasa mmetoa ujasiri wapi????? hacheni utani na huyo jama! KIRUU!!

   
 12. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Maji yakishamwagika hayazoleki waambieni watu wa karibu hasa wazee watu wazima watawapeni ushauri mzuri zaidi
   
 13. M

  Marytina JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  to tell you the truth.Huyu hauseboy+housegirl walikuwa kama sehemu ya familia yetu marafiki kwelikweli kila kazi tulishirikiana mpaka mwisho.
  Sikujua kama kaka anakula housegirl akija likizo.Hatukuingia mikataba ya fedha tuliona ni njia rahisi na yeye alicheza hiyo nafasi kama rafiki yetu.Alikuwa amamsave braza asikatishwe masoma na baba.
  Kaka alimwogopa sana baba si unajua tena mtoto wa nje akiharibu huwashiwa moto ile mbaya na baba yetu ni mafia habembelezi mtoto ukileta miduara hata ada na matumizi utajijua.
   
 14. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Naomba nikuulize swali, "wakati mnakubaliana na huyo hb wenu mlimweleza kuwa ujauzito ni wa Kaka yako au mlimlazimishia tu kuondoa mfarakano nyumbani?" huyo mtoto ana umri gani kwa sasa, na je inakuaje huyo former hb wenu anasema kuwa hana uwezo wa kuzaa tena kwa sara? Hebu nipe details then I'll get to know how to gv you an advice. Halafu nijuze Mama yake mtoto asemaje kuhusu msimamamo wa huyo Baba(hb) ambaye yupo tayari kufa?
   
 15. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dia kumbuka hata Abraham alitaka kumtoa mwanawe wa pekee kuwa kafara!!! huyo kaka yako si anauwezo wa kuzaa? azae mwingine tu, alafu huyo mtunzeni kama kawaida akikua lazima atamtafuta baba yake tu!!!!
   
 16. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mh kwa kweli jaribuni kumsihi zaidi na mkiweka mbele pia kuthamin mchango wake hata kama kumfidia kwa namna fulani,
  Kwani huyu kaka amepitia mengi na huyo mtoto kumuhudumia ucku akilia , akiumwa nk
  So jaribuni kuliweka kinaman ya kumcompasate fulan
   
 17. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Hapo kwenye red sijapenda mshauri kaka yako apunguze hasira. Ushauri ni kwamba mwambie kaka yako afungue dai mahakamani kudai mtoto wake akieleza sababu zilizomfanya amsaliti mwanae. Mahakama itaamuru kufanyike DNA test kutambua baba halisi wa mtoto hatimae mtapata mtoto wenu.
   
 18. M

  Marytina JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hatukuikana damu yetu nilijitahidi hg akapangishiwa chumba,tulikuwa tukiiba stocks za chakula tunampelekea mama na mtoto.
  Kumbuka by the time nikiwa kama kiungo nilijiingiza dhambini kwa utoto not intended at all.
  Kaka ni mtoto wa nje sasa hapo angepata wapi support in case baba angemwambia oa na jiendeshee maisha yako shule imekushinda.

  Nakiri tulikosea ila hii adhabu ni kubwa mno kwa kosa lililochagizwa na utoto
   
 19. M

  Msindima JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hamjaporwa mtoto kwa sababu mliamua kufanya hivyo kwa hiari ya mioyo.
   
 20. M

  Msindima JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ka swali kangu ni haka unasema mtoto ni wa kaka yako sasa ilikuwaje mpaka houseboy akakubali? au na houseboy nae alikuwa anagongea kwa huyo dada?
   
Loading...