Wanaume hii ni elimu ya wapi?

Wanaume hii ni elimu ya wapi?

Tariq f

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2021
Posts
233
Reaction score
347
Habari waungwana.

Hivi kweli unaakili timamu mpaka unatoa figo eti kwa ajili ya kumnunulia mwanamke iphone 14? Ina maana unajikosea adabu kiasi hicho?
Ina maana una mkufuru Mungu kiasi hicho?

Ina maana unatumia mwili wako kama kitega uchumi, si UPUMBAVU PRO MAX, sasa si unaweza pia kutumia makalio yako nayo kama kitega uchumi?! Mbaya zaidi TENA KWA AJILI YA MWANAMKE KWELIm?!

Sasa kama akikuacha itakuwaje!? Si ndiyo mwanzo wa kujiua huo?

Duuh! Kweli kazi!
Screenshot_20221014-084318-1.jpg
 
Hivi umewahi kusikia Ulaya mtu kaunga mkono juhudi?
Sisi Waafrika tuna upumbavu wetu na watu weupe wana upumbavu wao.
Huku Afrika peleka maua ukweni uone moto wake ila kwa wenzetu ni kawaida tu.
Hii ilitokea India , Afrika wanaigiza tu, hakuna hata wa kutoa kucha kwasababu ya mpenzi
 
Habari waungwana

Huvi kweli unaakili timamu mpaka unatoa figo eti kwa ajili ya kumnunulia mwanamke iphone 14

Ina maana unajikosea adabu kiasi hicho?
Ina maana una mkufuru mungu kiasi hicho?
Ina maana unatumia mwili wako kama kitega uchumi, si UPUMBAVU PRO MAX, sasa si unaweza pia kutumia makalio yako nayo kama kitega uchumi!!. Mbaya zaidi TENA KWA AJILI YA MWANAMKE KWELI!!

Sasa kama akikuacha itakuwaje!!??
Si ndo mwanzo wa kujiua huo!??

Duuh!!! Kweli kazi!View attachment 2386804
Nilijuwa tu huyu atakuwa ngozi nyeusi time,uwez kuta ngoz nyeupe na utahira huu
 
Kumbuka huyo kamnunulia dem....Haihusiani na Iphone, Dem angetaka Samsung S22 jamaa angetoa figo tu.
Sasa nasema huo ushawishi uliotumika mpaka dem akataka iphone na sio Samsung na ma slay queens wote huku in general kuangaika na iphone
 
Sasa nasema huo ushawishi uliotumika mpaka dem akataka iphone na sio Samsung na ma slay queens wote huku in general kuangaika na iphone
Aaaah hapo sawa....ila hiyo haijahusiana sasa na jamaa kutoa figo, dem angekuwa ana obsession na ist au vitz jamaa angetoa tu figo.
 
Habari waungwana

Huvi kweli unaakili timamu mpaka unatoa figo eti kwa ajili ya kumnunulia mwanamke iphone 14

Ina maana unajikosea adabu kiasi hicho?
Ina maana una mkufuru mungu kiasi hicho?
Ina maana unatumia mwili wako kama kitega uchumi, si UPUMBAVU PRO MAX, sasa si unaweza pia kutumia makalio yako nayo kama kitega uchumi!!. Mbaya zaidi TENA KWA AJILI YA MWANAMKE KWELI!!

Sasa kama akikuacha itakuwaje!!??
Si ndo mwanzo wa kujiua huo!??

Duuh!!! Kweli kazi!View attachment 2386804
Fake news
 
Tatizo ni kuwa kila mtu siku hizi ana access na Internet. Na kuna kundi kubwa la watu hawajui waamini na wapuuze nini wanachokutana nacho kwenye mitandao. Mtu kama wewe tunaweza kukusamehe kwani ni wale waokoteza habari na source yenu ni kwa akina Ayo na the likes.
 
Hiyo simu tsh ngp. Mwakani si watatoa iPhone 15 sa atatoa nini?
 
Material things vipo na kila siku vinazidi kuboreshwa, kila siku vinaletwa vizuri zaidi ya jana, tulikuwepo iphone 4 ina tambulishwa tuliona kama miujiza, leo hii mtaani nadhani elfu 50 unapata..

Vijana tupige kazi, get back to work, work 24,7 na 365 days.. night clubs, pesa, magari, wanwake wasiku distract kukutoa kwenye kuchapa kazi, bata zipo haziendi popote, nasema get back to work acheni huu ujinga kuuza figo kisa upumbavu...
 
Back
Top Bottom