"A good woman is not one size, women say"
"Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua...
Nyie wanaume mliooa tunaomba mtulie na wake zenu. Kama mlioa kwa bahati mbaya ni juu yenu. Msiwe mnatusumbua wengine kabisa kwanza mnatupa gundu tu ambao hatujaolewa, kaeni ma wake zenu. Nani...
Hii imekaa vipi wakuu!?
Kuna dada mmoja hivi, nilionana nae kazini kwangu miaka hiyo, 2018 wakati nipo Dar Es Salaam kipindi hicho.
Tukazoeana Sana. Chating kwa wingi mno. Nikaanza kumpenda Ila...
Habari zenu wakuu.
Naomba niende mojakwamoja kwenye mada husika, ni story ndefu lakini nitajaribu kuifupisha.
Ni Mfanyakazi mwenzangu, nilishiriki kwenye zoezi zima la kumposa mkewe, mahari na...
nimemaliza chuo mwaka 2005 . nikafanya kazi maeneo kadhaa wakinizingua naacha.
huwa sipendi kuzinguliwa kazini. kwahiyo usitegemee uniajiri alafu ulete za kuleta eti nikuache
kama sijakuwamba...
Wakuu habari zenu,
Huku tukiutafuta tafuta usingizi hebu tuambiane mahusiano ambayo umewahi kuwa nayo na yakawa mafupi kuliko yote.....
Ukitoa sababu ya kwanini mlidumu muda mfupi hivyo itakuwa...
Uchawi wa mwanaume kwa mwanamke upo wa aina 2 tu;
1. Pesa - Hii itamvuta aje kwako.
2. Kumfikisha Mlima Kilimanjaro - Hii itamfanya uingie moyoni kwake sana sana. Sasa ili umfikishe Kilimanjaro...
Naishi kigambon Dar es salam, natafuta mchumba/ mume .
Umri wangu ni miaka 23
Urefu wa wastani
Elimu - diploma
Dini - mkristo
Sifa za mhitajika;
Awe mstaarabu , mengine ni kadri tutakavyokuwa...
Kumekua na wimbi la akina dada kuzalia nyumbani hasa hawa wa miaka 19-26. Unakuta kijana anajua hana uwezo wa kuhudumia mimba na kuchukua majukumu kama baba lakini anazalisha tu.
Kuna hawa jamaa...
Habari waungwana.
Hivi kweli unaakili timamu mpaka unatoa figo eti kwa ajili ya kumnunulia mwanamke iphone 14? Ina maana unajikosea adabu kiasi hicho?
Ina maana una mkufuru Mungu kiasi hicho...
Nipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest.
Ukitaka mwendo tia gia havijileti, kidume nimejikoki kwa pisi kali ya chuo lakini mziki...
Kwa wanaume wote,
Usiruhusu manzi akawa rafiki yako kama ulim-approach kwa lengo la mahusiano. Kuwa mwanaume ni TUNU tosha, thamani yako siku zote huongezeka kadri siku zinavyoenda mbele...
Ladies n gents shalom! Aisee nimeamini mapenzi ni unconditionally, unaweza kupendwa na yeyote, popote, na vyovyote. Hivi tulijua kuwa Uwoya angeweka wazi hisia zake za mapenzi kwa Keny...ta?
The...
Leo asubuhi mke wangu, amenipigia simu nimpe ushauri kuhusi hili jambo, kati ya Baba ake na kijana wake wa mwisho (aged 28) Tatizo liko hivi huyu kijana mdogo wake wife kapata wazo la kutafuta mke...
Salamu wa ndugu.
Naombeni ambae ameshawahi kupatwa na tatizo kama hili anisaidie. Yaani ni hivi kuna msichana ambae nilianzisha nae mahusiano toka mwezi wa kwanza mwaka huu now anamimba yangu ya...
Unampata mwanaume mchekeshaji ana pesa. Unaenda kutoka tena na mwanaume mkimya hana pesa. Ukimpata mwanaume MKIMYA unaenda kutoka na mwanaume MCHEKESHAJI.
Ukimpata mwanaume hana PESA unaenda...
Nilipatwa na mkasa wakuondolewa kazini kwa vyeti feki, uzuri nilikuwa na kijiakiba changu, nikaingia kwenye sekta ya ajira isiyo rasmi. Nikanunua kirikuu na nikawa nalaza hadi elfu themanini kwa...
Demu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k
Juzi juzi kaomba nimpatie pesa...
Yani sasa hivi nina miezi 7 sina mchumba, kila ninayemtongoza lazima asumbue, na huwa sipendi kusumbuliwa au kumbembeleza sana. Naishi maisha ya kununua tu za barabarani.
Naombeni "Connexion" za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.