Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,281
Ladies n gents shalom! Aisee nimeamini mapenzi ni unconditionally, unaweza kupendwa na yeyote, popote, na vyovyote. Hivi tulijua kuwa Uwoya angeweka wazi hisia zake za mapenzi kwa Keny...ta?
The same applies to Putin, nimejifunza haitakiwi ku fake tabasamu hata ungekutana na mwanamke mzuri kiasi gani, no faking. Kupitia picha hii nimejifunza mengi mno.
From today onwards naacha ku fake tabasamu, hakuna ulazima wa kutabasamu ilhali huna sababu ya msingi ya kufanya hivyo.
Long live Putin! 1st alpha male on earth