Armani William
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 253
- 771
Kwa wanaume wote,
Usiruhusu manzi akawa rafiki yako kama ulim-approach kwa lengo la mahusiano. Kuwa mwanaume ni TUNU tosha, thamani yako siku zote huongezeka kadri siku zinavyoenda mbele.
Hivyo, usililie mwanamke, kuchukizwa na kutaliwa- akikukataa mmoja kuna wengine 100 wapo tayari kukubali. Usipige mwanamke- Kama amekushinda kuthibiti ondoka katika hayo mahusiano.
Ni hayo tu kwa leo.
View attachment 2387449