Msaada: Nimewekewa "tego", jogoo anawika kwake tu

jooohs

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
2,067
8,595
Salamu wa ndugu.

Naombeni ambae ameshawahi kupatwa na tatizo kama hili anisaidie. Yaani ni hivi kuna msichana ambae nilianzisha nae mahusiano toka mwezi wa kwanza mwaka huu now anamimba yangu ya mwezi mmoja.

Ila kila napokutana na msichana tofauti na yeye nashindwa kusimamisha kabisa nimefanya hivyo kwa wasichana wa tatu ila hali inakua vile vile ila nikirudi kwake nakuwa na nguvu zisizokuwa za kawaida yaani tunaweza fanya mapenzi usiku kucha.

Jana nilikuwa nataka nikaongee nae nimwambie ukweli ikiwezekana nimpige kibuti na mimba nimwambia aitoe ila kuna jamaa yangu kanambia nitulie kwanza tutafute suluhisho la hili tatizo.

Naombeni mnisaidie ndugu maana hapo nyuma sikuwa na tatizo kabisa yaani inaniuma nimebaki na mawazo lukuki. Ukizingatia kuna mdada mmoja tulie kuwa tumepanga nimuoe ila hiyo hali imenikuta kwake zaidi ya mara mbili hapa nilipo nimeshindwa cha kufanya.

Natanguliza shukrani
 
Tanzania Ni Ngumu Sana Na Kuloweka Ni Tabu
Pole Kwa Kudondosha Mnara Yaani Network Unaipata Sehemu Moja
Imemkuta Jamaa Yangu Alikuwa Dar Es Salaam Akahamia Dodoma

Akapata Mrangi Chang'ombe Huko Dodoma Akaloweka Sana
Ila Akirudi Dar Es Salaam Kwa Mkewe Network Search.......
Loading.........

Akajua Oops!! Business Digenda Short, Akirudi Kwa Mrangi Anapata 4G Nzuri
Akawaona Wajuzi Wa Dodoma Wakamsaidia Kuondoa Tatizo Sasa Hivi
Yupo Vizuri Njia Yote Anapata Full Network
Imebidi Amwache Yule Mrangi

KULOWEKA Oops!!
 
Wajanja wa mjini tunasema kauziwa simu chini ya mwembe. Akitika chini ya huo mwembe/mnara simu haishiki network.
 
Solution ni kubaki njia kuu tu mkuu. Tusiwaze nguvu za giza kwa kila kitu, ukute nguvu za mwanga zinakuepusha na jambo
 
Tanzania Ni Ngumu Sana Na Kuloweka Ni Tabu
Pole Kwa Kudondosha Mnara Yaani Network Unaipata Sehemu Moja
Imemkuta Jamaa Yangu Alikuwa Dar Es Salaam Akahamia Dodoma

Akapata Mrangi Chang'ombe Huko Dodoma Akaloweka Sana
Ila Akirudi Dar Es Salaam Kwa Mkewe Network Search.......
Loading.........

Akajua Oops!! Business Digenda Short, Akirudi Kwa Mrangi Anapata 4G Nzuri
Akawaona Wajuzi Wa Dodoma Wakamsaidia Kuondoa Tatizo Sasa Hivi
Yupo Vizuri Njia Yote Anapata Full Network
Imebidi Amwache Yule Mrangi

KULOWEKA Oops!!
Haya mambo kumbe yapo kweli aisee?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom