Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unawezaje kumtongoza au kumfanya mwanamke ambaye hakupendi akupende? Mimi kuna mwanamke ambaye namtaka ila kwa bahati mbaya mwanamke huyo kama anavyosema yeye ni kuwa hanipendi! Ila ananipa mda...
0 Reactions
2 Replies
436 Views
Hii inawahusu hasa wanaume/mabaharia wanaopenda kuchukua totoz maeneo mbali mbali. Kuna siku tulikuwa kwenye kikao cha kiume na mabaharia wenzangu, tukawa tunabadilishana mawazo na katika...
15 Reactions
177 Replies
13K Views
Context izingatiwe Nivilio kila Kona, wanaume wakiuliza yako wapi mapenzi tuliosimuliwa na Babu zetu. Waliotuhadithia kuwa mapenzi si pesa bali hisia za wawili waliopendana na kuamua kuishi bila...
13 Reactions
76 Replies
5K Views
Dakika chache zilizopita ilikuwa siku yangu ya kuzaliwa ila nina utaratibu wa kuacha tu siku ipite bila kufanya taratibu yoyote. Lakini marafiki zangu leo wamenishangaza baada ya usiku kunitegea...
23 Reactions
80 Replies
5K Views
Mm nina miaka 35 namtaka binti wa miaka 20, najiuliza nkimtongoza huyu binti si ataniona wa ajabu sana? Maana nimemzidi miaka 15 nikikutana naye njiani ananipa Shikamoo. Hata nkimtongoza...
17 Reactions
154 Replies
13K Views
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania, hivi mnajua ya kwamba; Utakachokuwa unamsimulia sweetheart wako siku za mwanzoni penzi lenu linapokuwa...
31 Reactions
210 Replies
24K Views
Habari zenu waungwana wa humu JamiiForums. Jamani nyie waungwana, katika haya maisha jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika. Hivi utasijikiaje ukiwaona watoto...
30 Reactions
245 Replies
20K Views
"Ndio maana ikatokea huko kwenye mahusiano na mwanaume, halafu ukampigia simu akutumie hata elfu kumi, utamsikia akisema, njoo nyumbani kwangu uchukue",alisikika mwanadada mmoja akizungumza kwa...
9 Reactions
20 Replies
4K Views
Juzi nilikuwa na safari kwenye mkoa fulani nikaamua nipite kumsalimia shemeji yangu(mke wa aliyekuwa rafiki yangu) ambaye amefiwa na mme wake miezi michache iliyopita, nilishangaa kumkuta shemeji...
14 Reactions
28 Replies
3K Views
Hivi karibuni nilileta uzi unaosema; Nimekuta vitu vya mwanaume chumbani kwa mpenzi wangu, naomba ushauri tafadhali Huu ni mrejesho bada ya kukuta vitu vya mwanaume mwingine imebidi niombe wiki...
61 Reactions
158 Replies
64K Views
Wanaume wengi tumekua obsessed na aina moja ya tabia za wake zetu ambayo wengi hatuwezi kuvumilia, uzinzi au uzinifu, mara nyingi wanaumme hupima uamnifu wa wake zao kwa hilo la uzinzi, na kuja...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello everyone, nipo kijijini kwa muda. Mke wangu nimemuacha mjini na nina week 1.5 hapa. Sasa ni mgeni na naona ingenichukua muda mrefu kuanzisha mahusiano au kuomba mbususu na kupewa. Wakati...
11 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimatumaini kila mmoja anaendelea vyema, ambao hawako sawa Allah awafanyie wepesi kwenye magumu yao. Leo nimekumbuka kisa kimoja nikiwa O-Level nakwasababu niko safarini sina cha maana cha...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
I’m pretty easy going, down for whatever. I have a huge heart, and I care a lot about people. I’m an open book, ask me whatever. I have a passion for knowledge. I have a passion for Carpentry...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Nchi hii ili mwanaume uonekane wa maana eti fanya kazi kwa bidii ili uwahudumie wanawake masikini! Fikiria unatoka na mwanamke ambaye hana uwezo wa kujinunulia bando!
37 Reactions
261 Replies
10K Views
Wakuu ningependa mnijuze sifa hasa za wanawake wakikwere,maana nahitaji nikate shauri lakuoa binti wa kikwere. Ningeomba nifahamishwe sifa nzuri na mbaya juu yao, mwisho wa siku niwe na maamuzi...
0 Reactions
35 Replies
11K Views
Hizi ndoa za kikristo zimefikia mahala sasa tunaweza kuziita ndoa za kisheria kwasababu watu wanaona mahakamani kuna unafuu kuliko kufata sheria za ndoa za kikristo. Usijidanganye kizazi hiki...
9 Reactions
98 Replies
6K Views
Tunaposema maandiko ya biblia hayajakataza ndoa yenye mke zaidi ya mmoja ila ni maelekezo ya viongozi wa makanisa muwe waelewa. Haya sasa, hivi chukulia kijana wa kikristo mwenye miaka 25 kaoa...
4 Reactions
67 Replies
6K Views
Mimi ni kijana wa miaka 31 na nina kipato cha kati, nimekuwa nikipata msukumo mkubwa sana kutoka kwenye familia kwamba nioe lakini kila mwanamke ninaye kuwa naye kwenye mahusiano naona...
6 Reactions
94 Replies
5K Views
Jaman mimi ni mwanaume niko na kamchumba kangu tulikuwa tunaongea na simu mpaka saa nane za usiku[emoji23][emoji23], ila gafla baada ya kuamua kuoana naanza kuona ninapunguza upendo kwake tena...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom