Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa. Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi...
21 Reactions
155 Replies
8K Views
Habari wadau, Mafarisayo, wapambanaji, watafutaji bila kusahau wachakataji. show yangu mbovu kuliko zote ni mwenda zake aligoma kusimama kabisa bustani ya eden nilivuta bangi na hisia zote lakini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jumamosi mabush ananipigia simu kunisabahi na haraka ananiuliza nipo pande zipi za jiji.namjibu nipo hom na watch series.ananambia haraka nijiandae anakuja kunipitia anipeleke kiwanja kipya( si...
14 Reactions
60 Replies
6K Views
Wakuuu. Tumezaliwa watano kwa baba na mama angu, mimi ni wa pili kutoka mwisho, hao wengine wote ni wanawake mimi peke yangu ndiyo mwanaume. Kwahiyo dada watatu wamenizidi na mmoja ndiyo yupo...
14 Reactions
97 Replies
6K Views
Mwalimu Mwakasege amesema kabla vijana hawajaungana Katika Ndoa ni vema wajitafakari kama Mungu ndiye anawaunganisha kwa Imani na siyo Upendo pekee. Mwalimu Mwakasege amesema Upendo ukipoa basi...
11 Reactions
45 Replies
4K Views
Ni nadra sana kukuta mwanaume anamwambia mwenzako kwamba anamjali. Ukiwa na shida utapewa msaada kwa utani au kadhihaka fulani hivi, Kwa nje ni kama huwa hatutaki kusaidiana ama kujaliana lakini...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Muuza Kangala nina wakati mgumu sana. Maana huyu mwanamke ananichanganya. Kama miezi mitatu tulizinguana naye. Baada ya kizinguana naye mpaka leo anazingua kunipa puchi. Mimi nikivusha wanawake...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Bint wa Bill Gates (tajiri namba moja duniani kwa miaka kadhaa) anategemea kufunga ndoa na kijana wa Kimisri (wanaotujengea Steigler Gorge). Bint ame fall kwa kijana handsome wa Kiislam...
47 Reactions
962 Replies
79K Views
Jamani wana JF naomba msaada wa kimawazo: Mimi ni kijana mwenye Mke wa ndoa na mtoto mmoja. Nimepang nyumba moja na jamaa mwingine ambaye naye ana mke na mtoto mmoja. Huyu jamaa anapendana sana...
0 Reactions
75 Replies
35K Views
Habari wana jamvi Natumaini kichwa cha habari kinajieleza ni takribani kama siku ya pili leo mke wangu amekuwa mkali kila nikijisogeza nyumbani ni story za kunichamba na kunitukana baada ya kuona...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Leo nataka niwape kisa cha anko wangu moja hivi wa mtaani ambae kwa sasa ni marehemu, ubaya pia sikubahatika kwenda kumzika. Wakati wa makuzi yangu nilibahatika kulelewa katika mtaa ambao...
5 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nianzie upande wa wanaume, imagine umepata mchepuko mzuri na mwenye shape + chura kuzidi mkeo, yaani siku ukikutana na huo mchepuko mahaba yananoga hasa hasa ukilinganisha na wife wako...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Tunajua mapenzi yanaendesha Dunia. Tumesikia na kujionea mapenzi yalivyo na nguvu, lakini sina uhakika kama yanaweza kuhamisha milima kama wasemavyo. Umri uliyonao na mambo uliyokwisha pitia...
7 Reactions
69 Replies
5K Views
Hata maandiko matakatifu yanatukumbusha kusameheana saba mara sabini. Wanaume mjifunze kutoka kwa yale yaliyomkuta mchungaji. Mbona yeye kasamehe? Kwani yeye si mwanaume kama mlivyo ninyi...
8 Reactions
174 Replies
10K Views
Kwanini watu wanakataza wanawake wasikeketwe ila wanataka wanaume watairiwe?
4 Reactions
70 Replies
4K Views
Ni maneno mafupi, najua kwa wenye akili wamepata kitu hapa.
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari zenu mabibi na mabwana Leo katika pita pita zangu nimekutana na andiko moja ambalo jamaa ametusema wanaume vibaya sana nami nimelikopi na kulileta kwenu kama hivi ""Mwanaume anayeweza...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na sote tuitikie "Kazi iendelee" Kuna binti humu ndani, jirani na chumba ninamoishi, mtoto wa mama anayeishi na mama yake. Mtoto huyu...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Binafsi sijawahi kubambikwa mimba wala mtoto, ila nimewahi kuhudumia mimba hewa! Nilikuwa nampenda sana naye alikuwa anajua nampenda, siku ya siku akaniambia hazioni siku zake, tulipoenda kupima...
23 Reactions
177 Replies
17K Views
Huyu mrembo amekuwa akiniongezea gharama katika matumizi ya kila siku, na hii ni kutokana na kuwa anapenda vitu vya anasa anasa. Kutokana na uzuri wake, pamoja na mizinga aliyokuwa akinipiga...
13 Reactions
51 Replies
4K Views
Back
Top Bottom