I remember those day when i was young, leo hii mimi zero iq nipo natanga tanga kama digi digi,
Nawindwa kama mwewe kisa utelezi tu.
Mke wake kajichanganya mwenyewe kutaka utamu mi ile kutia tu...
Wadada wa mjini ukiwaomba namba, hawana shida na wewe, watakupatia ila wanajua ni wapi watakubana na usihangaike kumpigia pigia au kumsumbua sumbua.
Siku moja nilikutana na dada mkali, kutokana...
Habarini wadau
Tokea nimekuwa single imekuwa kazi kweli kupata mpenzi mpya, kila napojaribu naona bila bila bila bila. Tumia nguvu ya pesa wapi ila nilivyo kuwa na mpenzi wengi walinishobokea...
Ni siku njema! Ndugu zangu Waislamu nawatakia muendelezo mwema wa mfungo wa Ramadan!.
Haya twende kwenye lengo kuu la uzi.
Nilikuwa napitia pitia kwenye 'media' fulani jana na leo, nikisoma visa...
Nawasalimu kwa jina la mmu..
Kuna kisa kimoja cha mwisho kati ya vingi ambavyo nmewahi kukumbana navyo ningependa kuwashirikisha.. kilinitokea miaka miwili nyuma kipindi bado nipo chuo ambacho...
FIRST YEAR: Nikiwa nimekaa "lecture room" nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa namuita 'Bestfriend' . Nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani...
Kuna hii tabia ya wadada mkishazoeana mambo yanakuwa freshi mnasalimiana vizuri tu na hata sms za kusalimiana na kutakiana kheri ni kawaida.
Tatizo linakuja pale mkishakuwa na mazoea hayo...
Ktk tembea zangu mikoa tofauti hapa nchini nimegundua watu wanaoishi kwenye mikoa yenye joto sana hawaridhishani kimapenzi kwakuwa hawawezi wengi wao hawawezi kupiga show ipasavyo hata bao4...
Kila Siku Kitandani.....
Kila Mara Kifo Cha Mende,
Mmmh Mwenzangu Hebu Siku Moja Chukua Busati Liweke Chini.
Chukua Mito Yako Uipange Kwenye Busati halafu Tuliza Akili Yako Pahali Hapo.
Si...
Kwanza nimeamua kutumia ID mpya kwa ajili ya kusema hili suala.
Asante leo nimeamua niseme ukweli wangu huenda ikasaidia wengine.
Kwanza nikiri wazi nilikuwa muathirika mkubwa wa kujichua kwa...
Nimetoka kuachana na mpenzi wangu niliempenda kama Miezi minne iliyopita. Basi baada ya Mda huo nikaweza kupatana na Mdada mwingine mzuri sana, nikarusha swaga zangu za hapa na pale.
Asee kweli...
Anaesema kuwa mtoto wa nje ya ndoa ana hitilafu kijamii na kwa Mungu afikirie upya. Mwenye uwezo wa kuumba ni Mungu tu peke yake.
Kama umebahatika kupata mtoto wa nje ya ndoa mkumbatie sawa na...
Kama maada inavyojieleza hapo juu, wanaume wenzangu msipende kujibu sms iliyo tumwa juu ya screen.
Ni bora uifungue na kuijibu ila sio juu ya screen [emoji24][emoji24][emoji24], sina hamu mke...
Hivi Mwanamke akisema hata Mwanaume umpe umpe nini haridhiki, hiyo ‘nini’ humaanisha kitu gani?
Tuambieni hizo nini ni nini basi. Kama hamsemi mtaendelea kuita wanaume wote ni Mbwa.
Tunaambiwa kwamba kuendelea kuishi pamoja na kuzaa watoto bila kufunga ndoa kanisani ni uzinzi na kumchukiza Mungu.
Sasa na mimi nauliza, naweza kwenda kanisani kufunga ndoa bila kusaini...
Habari za wakati huu ndugu zangu...
Katika harakati zangu za kimaisha kuna kipindi hapa katikati nimepitia msongo wa mawazo mkali sana kazini uliodumu kwa muda wa mwezi mmoja na nilishindwa...
Sasa shida ni nini mpaka mnakiuka utaratibu?
The storyteller wenu nimefall in love kwa kabinti kadogo dogo ka QT. Kutokana na mitego kaliyokuwa kakinielekezea, ya kufunga khanga vibaya mbele...
Ni mejifunza kitu kikumbwa kwa stori ya Hakim, ndoa ni kama vita ya kirafika mwanamke ni "friendly enemy" ni muhimu kuchukua tahadhari na kuacha huruma wa kijinga kuna wale akisha zaa na mwanaume...
Mshahara wangu wa mwezi March umechelewa kutoka Mpaka tarehe hii. Nilihitaji kiasi cha Tsh 1.4m kwa ajili ya kufanyia jambo fulani
Najua mke wangu hawezi kosa hiyo pesa. Najua anatunzia chumbani...
Mfumo ni ule ule kama ilivyoandikwa Mke amuheshimu Mumewe na Mme ampende Mkewe.
Basi hili andiko linawahusu na watoto pia 'BABA AHESHIMIWE MAMA APENDWE' hili ni jukumu la wazazi kulitimiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.