Ukiwanyima pesa wanakuwekea kinyongo.

Ukiwanyima pesa wanakuwekea kinyongo.

zwangandaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2023
Posts
750
Reaction score
1,427
Kuna hii tabia ya wadada mkishazoeana mambo yanakuwa freshi mnasalimiana vizuri tu na hata sms za kusalimiana na kutakiana kheri ni kawaida.

Tatizo linakuja pale mkishakuwa na mazoea hayo kifuatacho ni kukuomba pesa.

Sasa ukiombwa pesa na usimpe hawa watu balaa linanza kwani wanaanza kukuwekea vinyongo, salamu zinakata, mkikutana hakuchangamkii tena na mambo kama hayo.

Nimepata uzoefu kwa wada kadhaa, karibu wote mwisho wao ni kukuomba pesa, usipompatia urafiki unakufa kifo cha ghafla.

Nasema uongo ndugu zangu?
 
Achraf Hakimi amesha tusanua..

Demu haongwi,Demu hapewi pesa.

KATAA MADEMU

KATAA PAPUCHI

MADEMU NI WANYONYAJI

MADEMU NI HASARA.

TUNZA KIBUNDA CHAKO.
tukatae papuchi halafu unataka tukambeto wapi sasa...?
 
Dem bila kuja geto Tena Kwa nauli yke
Usitume nauli na akijaa aliwe Kwanzaa Tena aliwee haswaaa .

Ndio apewee helaa vinginavyo na hapo mwanaumee unaibiwaa
 
Kuna hii tabia ya wadada mkishazoeana mambo yanakuwa freshi mnasalimiana vizuri tu na hata sms za kusalimiana na kutakiana kheri ni kawaida.

Tatizo linakuja pale mkishakuwa na mazoea hayo kifuatacho ni kukuomba pesa.

Sasa ukiombwa pesa na usimpe hawa watu balaa linanza kwani wanaanza kukuwekea vinyongo, salamu zinakata, mkikutana hakuchangamkii tena na mambo kama hayo.

Nimepata uzoefu kwa wada kadhaa, karibu wote mwisho wao ni kukuomba pesa, usipompatia urafiki unakufa kifo cha ghafla.

Nasema uongo ndugu zangu?
Yani mtu wa kila muda kunitumia ujumbe kila siku kunipgia aiseh hilo siwez kulibeba.
Lazima nimbunie mbinu.
 
Kuna hii tabia ya wadada mkishazoeana mambo yanakuwa freshi mnasalimiana vizuri tu na hata sms za kusalimiana na kutakiana kheri ni kawaida.

Tatizo linakuja pale mkishakuwa na mazoea hayo kifuatacho ni kukuomba pesa.

Sasa ukiombwa pesa na usimpe hawa watu balaa linanza kwani wanaanza kukuwekea vinyongo, salamu zinakata, mkikutana hakuchangamkii tena na mambo kama hayo.

Nimepata uzoefu kwa wada kadhaa, karibu wote mwisho wao ni kukuomba pesa, usipompatia urafiki unakufa kifo cha ghafla.

Nasema uongo ndugu zangu?
Wengine utaona vijembe mara wifi kapanda mara kashuka. Utadhani uliwatambukisha kumbe wanahisi tuu kuna anaekula hizo pesa. Hawana wazo kwamba kuna maendeleo. Hilo no.
 
Screenshot_20230415-135246_WhatsApp.jpg



Mwamba huyu hapa
 
tukatae papuchi halafu unataka tukambeto wapi sasa...?
Hmm.. Kasheshe. Kusudi la hazo parts sio kutumikishana wala kublack mail wengine. Jitambueni. Mmefungiwa kwenye kwapa??????????????? [emoji22][emoji37]
 
Ukiona umenuniwa sababu ya kutokutoa pesa basi elewa wewe ndio ulikuwa unamchukulia kuwa rafiki, yeye alikuwa anakuchukulia kama kitega uchumi chake. Siku zote kitega uchumi kisichozalisha faida hufungwa.

Epuka urafiki na mwanamke kama huna nia ya kumfanya.
 
Back
Top Bottom