Mtu akikuomba namba, mpe; mengine mtamalizana kwenye mawasiliano.

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,214
Reaction score
64,307
Wadada wa mjini ukiwaomba namba, hawana shida na wewe, watakupatia ila wanajua ni wapi watakubana na usihangaike kumpigia pigia au kumsumbua sumbua.

Siku moja nilikutana na dada mkali, kutokana na urembo wake nikamuomba namba, na akanipatia bila shida; nilipoanza kumpigia, akapokea na kusema, ''hallow dear wangu wa thamani, mambo vipi?'' Tukaendelea na maongezi yetu kama kawaida.

Baada ya kama dakika 3 hivi, akanitumia meseji, inasomeka hivi,'' mpenzi wangu, naomba unitumie laki 5 nipeleke gari yangu gereji, pia kokoto pale kwenye kiwanja changu bado sijalipia, naomba unijali mpenzi''.

Baada ya kupokea hiyo meseji; sikuijibu, hapo hapo nikaifuta hiyo namba, na mpaka leo hii hatujatafutana.

Mtu akikuomba namba, mpe.​
 
Ungetuma laki5 upeleke na kokoto buana
Umeniangusha sana🤣
 
Kuna mtu anataka nimbadilishie matairi ya gari,tena yote 4! Nawaza jibu la kumpa 😎
 
Wadada wa mjini ukiwaomba namba, hawana shida na wewe, watakupatia ila wanajua ni wapi watakubana na usihangaike kumpigia pigia au kumsumbua sumbua.

Siku moja nilikutana na dada mkali, kutokana na urembo wake nikamuomba namba, na akanipatia bila shida; nilipoanza kumpigia, akapokea na kusema, ''hallow dear wangu wa thamani, mambo vipi?'' Tukaendelea na maongezi yetu kama kawaida.

Baada ya kama dakika 3 hivi, akanitumia meseji, inasomeka hivi,'' mpenzi wangu, naomba unitumie laki 5 nipeleke gari yangu gereji, pia kokoto pale kwenye kiwanja changu bado sijalipia, naomba unijali mpenzi''.

Baada ya kupokea hiyo meseji; sikuijibu, hapo hapo nikaifuta hiyo namba, na mpaka leo hii hatujatafutana.

Mtu akikuomba namba, mpe.​
Pona yetu ni kukaa mbali nao wazee!
 
Back
Top Bottom