Nimepoteza hisia za kufanya mapenzi

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari za wakati huu ndugu zangu...

Katika harakati zangu za kimaisha kuna kipindi hapa katikati nimepitia msongo wa mawazo mkali sana kazini uliodumu kwa muda wa mwezi mmoja na nilishindwa kukabiliana na hali hii kutokana na maisha ya upweke ya kuishi mwenyewe bila mke kwani bado sijaoa.

Nilipambana na msongo huu wa mawazo kwa kufanya mazoezi ya hapa na pale, kuangalia movie, mpira, kucheza magemu na kwenda kupiga misele misele huku na huko..

Katika pita pita zangu nikamkumbuka rafiki yangu wa kike nikaona acha aje geto kunipa kampani nakunichangamsha..cha kushangaza tulipiga piga story, kuangalia movie kidogo na utani utani wa mwanaume na mwanamke unaopelekea hadi kulana.. cha ajabu niliniona kabisa kukosa hisia nae ilihali ilifikia mahali tulishikana shikana na mwisho wa siku kuvuana hadi nguo japo nikaishia kupiga kimoja tena kwatabu sana maana hisia za mapenzi zilikua hamna kabisa.

Wakuu kunahii mishipa ya pembeni ya macho hasa hasa upande wa kulia inayo kua kati ya jicho na sikio yani kama kiunganishi ( ambayo ukiwa na msongo wa mawazo unahisi kama ni mizito au kupump kwa nguvu sana kama inapumua hivi) .. niliona kabisa kua ni mizito sana na haina ushirikiano wowote kwenye kupeleka mawasiliano baina ya macho na sauti nzuri ya mrembo aliyo kua akilikia machine kwa kweli..

Nikijiona mnyonge sana ila nilimwambia mimi sipo sawa nina msongo wa mawazo na nimejikuta sina hisia kabisa na wewe. Ila bi dada alijibu

""nimekuelewa sana usijali kua na amani.""

Naombeni msaada wenu nifanye nini hisia za kufanya mapenzi zirudi kama kawaida wakuu..

Asanteni
 
Hiyo Hali kama naitaka hivi sitaki hizo hisia, kama Kuna dawa ya kuziondoa Kwa muda, isemwe maana muda mwingine zinaleta mateso bila sababu
 
Hiyo Hali kama naitaka hivi sitaki hizo hisia, kama Kuna dawa ya kuziondoa Kwa muda, isemwe maana muda mwingine zinaleta mateso bila sababu
Hii hali ni mbaya sana usiitake .. ila kama unaitaka kwa moyo wako wote.. kua na msongo wa mawazo tuu itapotea mpaka ujishtukizie uhisi umelogwa
 
Hii hali ni mbaya sana usiitake .. ila kama unaitaka kwa moyo wako wote.. kua na msongo wa mawazo tuu itapotea mpaka ujishtukizie uhisi umelogwa
Kwenye huo msongo wa mawazo ni mawazo gani hasa yanahusika
 
Back
Top Bottom