Ni mejifunza kitu kikumbwa kwa stori ya Hakim, ndoa ni kama vita ya kirafika mwanamke ni "friendly enemy" ni muhimu kuchukua tahadhari na kuacha huruma wa kijinga kuna wale akisha zaa na mwanaume mtoto mmoja tu anajua kashapiga mchongo Hakim ametupa somo sana vijana.
Dada kadai talaka kajichanganya anataka mgawanyo wa mali kumbe Hakim mali zote kamuandika mama yake, wale msio kua na emotional intelligence, ili ni somo usipate mhemko kisa umepata mrembo. Wanawake sio marafiki zetu.