Mwanamke usilete mazoea chumbani

Mwanamke usilete mazoea chumbani

Denis1729

Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
36
Reaction score
112
Kila Siku Kitandani.....
Kila Mara Kifo Cha Mende,
Mmmh Mwenzangu Hebu Siku Moja Chukua Busati Liweke Chini.

Chukua Mito Yako Uipange Kwenye Busati halafu Tuliza Akili Yako Pahali Hapo.

Si Vibaya Na Chakula Ukakiandaa Hapo Pembeni,

Baada Ya Hapo Andaa Mazingira Ya Kumtega Mumeo. Nikisema Kumtega Mumeo Siyo Kuweka Mtego Kama Wataka Kushika Panya Akaaah, Ukipigwa Mie Simo.

Bibie Namaanisha Hivi Mida Ya Sweetheart Kurudi Uwe Ushajindaa, Ushajifusha Penye Kipuli Umevaa, Kama ni Cheni Imetulia Kifuani na Mapambo Yote upendayo Mwenyewe kisha Tafuta Kinguo Chako Kilaini Vaa Kisha Msubiri Mumeo.

Baada ya Salam na Mapokezi Mazuri ya Mahaba aweza asiwaze hata kuoga, matokeo Yake Yakawa Kula Kitumbua Kwanza halafu Mambo Mengine Yatafata.

Patamu hapo.

Bibie Mume Ataka Mabadiliko Kama Vile Unavyo Badilisha Nyumbani Kwako, leo Wapanga Hivi Kesho. Kesho Kutwa Ushabadilisha. Siyo Kila Siku Chakula Ukumbini na Watoto, Laaaaa Hata Kama Mna Wageni Usimuache Mumeo ale na Wageni mpaka Akashiba Laaaaa.

Mzoeshe Kuonja tu Kisha Mkalishane Chumbani Upo?

Muda Wa Chakula Yeye Yupo Ukumbini Na Wageni Waeza Mchokoza Tuu Kwa Message hii;

Dear Kula kidogo tuu au Kula Kwa kutegea chakula chetu kipo Chumbani"

Hapo hapo Habib Ataanza Kuwa Na Shauku Leo Bibie Anataka Tule Chumbani Yaonekana Kajiandaa Kweli...!!!
Au Atakiwa Na nyege?
 
Na huu ugumu wa maisha mtu ukimfanyia hivyo anaona Kama unamletea uchawi tu, mtu katoka zake kuhangaika...dili zimebuma, wewe huku sijui chakula umekiandaa chini, mara unajichekesha....anakuona Kama kipa katoka vile🤣🤣🤣

Inshort nilikuwa nataka kusema hayo maandalizi yaangalie mood ya mtu ya siku husika🤣🤣🤣
 
Na huu ugumu wa maisha mtu ukimfanyia hivyo anaona Kama unamletea uchawi tu, mtu katoka zake kuhangaika...dili zimebuma, wewe huku sijui chakula umekiandaa chini, mara unajichekesha....anakuona Kama kipa katoka vile🤣🤣🤣

Inshort nilikuwa nataka kusema hayo maandalizi yaangalie mood ya mtu ya siku husika🤣🤣🤣
😂 anaweza kukuanzia maombi akidhan mkewe nati zimelegea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom