Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mfalme Sulemani anasema kimbia jangwani (Mithali 21:19) au ukae kwenye dari (Mithali 21:9) peke yako. Labda ndivyo alivyoishia yeye na wanawake zake 1,000. Ukitaka ushauri wa mwenye wake wengi...
21 Reactions
141 Replies
5K Views
SINGLE Lady Acheni Kukata Tamaa. Wanaume wanaowajibika ni wengi. Kuna mwanaume anakutafuta, je uko tayari kwa ajili yake? Unaweza kukamilisha mpango wako mwaka huu! Wanaume wapo wengi kuliko...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Kisa cha mchezaji wa PSG Achraf Hakimi kuandikisha mali zake kwa jina la mama yake halafu mkewe kuambulia patupu mara baada ya kuachana kimewafanya wanaume wengi kupata muamko wa kutaka kuiga hiyo...
13 Reactions
60 Replies
5K Views
Habari wakuu. Kama kichwa cha uzi kilivyojieleza hapo juu. Kuna hii kasumba mtu anakuuliza (hasa kwa wanaume) vipi umeoa? Ukijibu hapana atakuuliza tena, ila ushapata mtoto? Je, ni sawa mtu...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Ni asubuhi njema! Kama kichwa cha uzi kinavyosema, maadili ya kiafrika ndiyo yaliyotulea na kutufikisha hapa tulipo. Kuna mitazamo mbali mbali ambayo si rasmi kwa baadhi ya wanajamii kuhusiana...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Majini wakiwa kama viumbe hai nao hutamani kuwa na mke au Mume wa kibinadamu Hali hii hupelekea kutafuta ampendaye katika wanadamu na kufunga nae ndoa hata bila binadamu huyo kupenda. Na hizi ni...
3 Reactions
14 Replies
6K Views
Za mchana Jamani leo natoa pongezi kwa Wanaume watanashati na utanashati huo unakuja kujidhihirisha ndani yani unakuta tango na sio bamia Ila ninyi watanashati wazuri yaani halafu ndani ziro...
8 Reactions
79 Replies
7K Views
Ni aina ya wanawake ambao wala hutumii nguvu sana kuwapata, cha kukupagawisha tu ni kwamba huwa ni pisi kali sana, wakimya, wanavaa fresh, hawana mdomo, unaweza kusema umepata kumbe hapo ndiko...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
I just want to know the reality of life, is it true all men cheat? I have ended my long relationship because of cheating.I cant tolerate continuing with a person after i found evidence he has...
9 Reactions
116 Replies
5K Views
Hello, Nina washkaji zangu ambao kwa level za kibongo bongo kwenye swala la pesa unaweza sema wametoboa kiasi, wanaendesha magari mazuri, wana biashara kubwa kiasi, wana umri mdogo, siku moja...
10 Reactions
83 Replies
6K Views
Salaam. Kuna wakati mwanamke unaona mwanaume wako unayempenda na kumuheshimu hakupendi wala kukuthamini kama ilivyokuwa mwanzo/kabadilika. Na hali hii inawaletea stress wanawake wengi. Wapo...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Nimekuwa Mwendawazimu katika Mapenzi na Mwanaume Mwingine. Mwanaume wangu ni mwepesi sana maishani - mwepesi sana kwangu - ni mvivu na mwepesi katika kufanya maamuzi, na hanitimizii kabisa...
8 Reactions
105 Replies
4K Views
Habari wadau. Wengi tumeona trend kubwa mtandaoni ya divorce ya mcheza mpira Hakimi. Nimekumbuka story ya Marehemu Bilionea Msuya wa Arusha. Mali zake alizoacha zimesababisha dada yake...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu!!! Natafuta mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano serious. Awe anaishi Dar es Salaam Sifa kuu na ya kwanza awe ana asili ya kiarab au colored wa asili yoyote. Umri kuanzia miaka...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Dada zetu tunajua urembo ni jadi yenu ila haya makucha hapana aiseeeh. Embu fikiria dada mwenye makucha kama haya eti ana ndoto za kuolewa,subutu hakuna mwanaume ndezi namna hiyo akuone na...
26 Reactions
282 Replies
14K Views
Hello JF, Nimepata kamanzi kamoja Nyerere square hapa Dodoma kanyiramba khaaa mashauzi kama yote kubinua midomo kama antena za chadema, nimewaza niende nae Royal village ila sio kwa ule ushamba...
2 Reactions
7 Replies
464 Views
Wadada, hela zenu ngumu kweli za kwetu mnazitaka, ila za kwenu hamtaki kuzitoa, nyie kila wiki-end, mnawalazimisha waume zenu kuwatoa 'out' kwa gharama zao, huo si uungwana, bali ni unyonyaji...
7 Reactions
113 Replies
3K Views
Habari, ni matumaini yangu mko poa, kwa nia ya dhati kabisa nakuja kwenu kumtafuta mchumba ambaye tukiridhiana tufike hatua ya ndoa. Mimi ni mkristo nampenda Yesu Level ya elimu Diploma Nina...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Salaam wakuu! Mimi kama mwanaume natoa haya.... Wanaume wa siku hizi baadhi yao ni kwamba tunafail sana yaani, Ona hizi kero. Wanaume wengi ndani ya ndoa hawatoi mahitaji, wanaachia wakina mama...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Back
Top Bottom