Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natumai hamjambo wananzengo Wakuu kuna binadam wana moyo sana, hili nimelithibitisha baada ya huyu bwana kunisimulia kisa chake. Ipo hivi, huyu bwana alisoma chuo kimoja na mpenziwe, wakiwa chuo...
10 Reactions
49 Replies
6K Views
Kwenye mchezo wa kandanda kinachohitajika na kupata pointi tatu muhimu, hii ni muhimu Sana, haitajilishi unashinda hyo mechi Kwa goli 1, 2, 3au goli 4 muhimu ni kupata point tatu haijalishi...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Binti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe. Ipo hivi wakuu, huyu mwanamke ni binti anauza duka la karibu na ofisi yangu (mimi ni...
13 Reactions
79 Replies
5K Views
Mimi katika maisha yangu nilishaapa sitooa mwanamke mwenye mtoto sababu ninajua mahawala hawaachani tena kama wamezaa ndio huwezi kuzuia kwa kisingizio matunzo ya mtoto kumbe jamaa anakumbushia...
9 Reactions
224 Replies
23K Views
Mwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue. Kiwango cha pesa sitokitaja 😂, aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku...
10 Reactions
135 Replies
6K Views
Habari za mchana ndugu zangu. Naishi na mzazi mwenzangu na alishakuwa na watoto kabla ya kukutana na mimi... Ni hivi, juzi alimpost mtoto nisiyemjua status kumuuliza ni mtoto wa nani akaniambia...
9 Reactions
86 Replies
5K Views
Salamu zenu wakuu Wana JF, Mwanaume fanya yote Ila usije ukaoa mwanamke mwanaharakati eti wanatetea haki zao kwenye Ndoa nao ni wapambanaji. Mfano si mnaona mdada maarufu hapa mjini mama ntilie...
12 Reactions
32 Replies
3K Views
Ipo wazi kuwa katika mfumo rasmi wa maisha ya mwanadamu, huwa unahusisha pia muunganiko wa jinsia mbili tofauti (ndoa). Ila kwa kadri siku zinavyoenda, muunganiko huu umegeuka kuwa changamoto sana...
91 Reactions
565 Replies
32K Views
Hi Wanajamii, Kama title hapo unavyoiona kiukweli mimi pia ni muhanga wa hili jambo yaan kupagawa na muonekano wa pisi kali lkn baada ya kuingia ktk uhusiano kiukweli ni majutoo , vizinga kibao...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
Wasalaam.... Naomba niende moja kwa moja kwenye huu uzi ndugu zangu, huku kipenga kikiwa tayari kimeshapulizwa [emoji350] Twende kazi sasaaa..... Ni mwaka sasa umepita tangu niachane na Ex...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
TAMAA Tamaa huwa haidumu kamwe. Tamaa hupigwa na kukimbia. Tamaa ni matumizi ya muda kisha unatupa. Tamaa huchochewa na ubinafsi. Tamaa huwa haina subira. UPENDO Upendo unajituma. Upendo...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
kunasiku nilileta mada hapa kuomba ushauri kuwa wife ananinyima unyumba kila kazi zangu za ujenzi zinapo pungua huwa nakosa hela basi hapo hutokea masimango ugomvi mpaka kunyimwa unyumba...
10 Reactions
68 Replies
3K Views
Habari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa. Elimu: Chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education. Dini...
26 Reactions
370 Replies
38K Views
Jamani wanajf katika harakati zangu za kupunguza uiringa na kuingiza udar kiasi kichwani nkaenda kwenye bar ya kitambaa cheupe Sinza pale nilichoona ni hatari wanawake wamejichora Tattoo miilini...
11 Reactions
25 Replies
3K Views
Huu ni motto wangu Tangu yule Baby J, pale Lindi 2007 alivyonitamkia wakati namtongoza Ili twende beach pale Kariakoo Kwa chini Ili kibamia changu kitoe gundu. "Kilimba we ni handsome,ila huna...
9 Reactions
63 Replies
2K Views
Njia pekee ya kuacha aibu ni kufanyia mazoezi. Fanya mazoezi ya kuwa jasiri utakavyo. Fanya mazoezi kwa wanawake wengi uwezavyo. Ongea chochote na wanawake wengi uwezavyo. Huna cha kupoteza wakati...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za Jumatano hii! Leo nilikuwa na tafakuri nzito kuhusu personality ya watu kama R. Heriel humu jamiiforam. Si Robert tu, kuna huyu mtu anaitwa Wyatt Mathewson pia. Nilichojifunza kuhusu...
13 Reactions
111 Replies
6K Views
Kusema kweli nyie viumbe mnaoitwa wanawake mna tabia mbaya Sana. Mwanaume anaamua kukuoa baada ya kufanya mchujo uliotukuka, na wewe ndo unakuwa mwanamke bora Kati ya wanawake wote. Cha ajabu...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Hili tatizo limekuwa na Phase tatu. Miaka ya nyuma kabisa wanawake ,mabibi zetu walikuwa hawatakiwi kusikia raha ya mapenzi. Mwanamke akionekana ana enjoy mapenzi alionekana malaya. Miaka hiyo...
29 Reactions
134 Replies
23K Views
Kheri ya mwaka mpya wadau! Mara nyingi kila nikipita humu nakutana na thread nyingi zenye kulalamikia wanawake baadhi ya matendo yao mabaya wanayotufanyia wanaume,kwa mfano unakuta mwanaume...
4 Reactions
43 Replies
7K Views
Back
Top Bottom