alumn
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 2,369
- 3,178
Nimetoka kuachana na mpenzi wangu niliempenda kama Miezi minne iliyopita. Basi baada ya Mda huo nikaweza kupatana na Mdada mwingine mzuri sana, nikarusha swaga zangu za hapa na pale.
Asee kweli kutongoza ni mchakato na inaboa kwa kiasi fulani Kwani sasa hivi mimi ndio wa kumtafuta yeye na kumshawishi Nini nitamuoffer kwenye new relationship.
Kutongoza kunachosha, napenda kutulia na mtu mmoja tu kuepusha hizi rabsha.