Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nawasalimu Kwa Jina La Jamhuri Ya Muungano. Nami nitumie Fursa ya Jukwa Hili Kutafuta Nimpendaye, Wasifu Wangu: Elimu Ya Chuo Single Father, Miaka 41 Naishi DSM Mfanyakazi & Biashara Mkristo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello wana jf mi ni mwanadada mfanyakazi serikalini sijawahi kuwa na mtoto! Naombeni ushauri wenu nilikuwa na mahusiano na mkaka akanitolea mahali na tulipanga tarehe ya harusi mwaka jana...
8 Reactions
69 Replies
5K Views
Hellow wapendwa , Poleni na majukumu , Nahitaji mwanaume aliyeserious ambaye mahusiano yetu yatapelekea ndoa , awe mkristo wa dhehebu lolote , umri 36-50 (naomba umri uzingatiwe ),awe mrefu mana...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Hi guys Mimi ni kijana wa miaka 33 naishi NJOMBE nimegundulika na maambukizi ya VVU last month. Najishughulisha na biashara ya mazao, Elimu ni Degree ya Education, si mfupi si mrefu mwili wa...
12 Reactions
27 Replies
4K Views
Hello Habari zenu ndg wana jf, nipo hapa kutafuta mdada mwenye kujieshimu, anayeweza kujenga heshima ya familia kwa maana ya mlezi mzuri wa familia, Awe na umri kuanzia miaka 24_27 Mcha Mungu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hellow wapendwa, mimi ni kijana wa kiume miaka 25 now, muislamu, kabila ni msambaa wa lushoto, elimu ni daktar lakini pia ni askari,naishi Dar es Saalam. Nahitaji binti wakuanzisha mahusiano hadi...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Kama una huitaji na mke bado nipo Vigezo Miaka 30-35 Dini yoyote Mrefu kiasi (maji ya kunde au mweupe) Umbo la kati sio mnene Wala mwemba Mtoto asizidi mmoja Asiwe ameachika Awe anapenda tendo la...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Mimi humu sitafuti mpenzi. Hiyo sekta imepitwa na wakati the thing is natafuta marafiki wenye kutoa ushauri positive na connection mbali mbali umtanisuta ila nao umri umefikia kuwa na marafiki wa...
7 Reactions
78 Replies
5K Views
Naitaji mwanamke huru wa kuchart nae ku shair nae story free. Naitaji mwanamke mjanja mwenye mbinu na anae jua hesabu ili kukokotoa changamoto. Napenda nipate mwana dada ambae yuko tayari...
12 Reactions
169 Replies
8K Views
Habari zenu WanaJF, naandika ujumbe huu kwenu nikiwa najitambua, Mimi kijana nina miaka 24 natafuta mchumba bila kutania, Binti alioko tayari kuanzisha mahusiano ya kweli na mimi namkaribisha, awe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 21-27 awe dar es salaam tukikubaliana tuje kuishi Pamoja Sifa; 1.Awe mweupe au maji ya kunde 2.asiwe mwembamba Sana wala mnene Sana 3.kama atakuwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naitwa Junior Mkazi wa DSM nina miaka 27 natafuta mchumba wa kike wa kuanzisha nae mahusiano ya kudumu SIFA: 1.Awe na umri kuanzia miaka 19-25 2.Awe mweupe au maji ya kunde 3.Asiwe mnene sana...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa kiume Umri miaka 28 Dini mkristo Rangi mweusi Natafuta mchumba wa kike ambaye ikimpendeza Mungu atakuwa mke Sifa awe kuanzia miaka 24-27 Dini mkristo Awe mchakalikaji maisha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Sifa Zangu 1.Ni mzawa halisi wa kanda ya ziwa Ila Kwa Sasa sikai huko 2.Nina miaka 29 3.sina wazazi wote 2. 4.mm Ni mrefu na ni mwili mkubwa kawaida Ila mm siyo mwemba. 5.nina Mtoto mmoja WA kike...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Wapendwa, Wasalaam! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta msichana ambaye tutaanza naye urafiki wa kimapenzi. Lakini lengo hasa ni kuona kama tunaweza kuelewana na kuelekea katika...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu! -Umri 32 -Dini Mkristo -Elimu Degree -Kazi Mwajiriwa -Sina mtoto Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo Awe- Dini mkristo -Umri 34-45 -Awe anajishughulisha
22 Reactions
169 Replies
16K Views
Habarini Ndugu zangu Mimi ni mwanaume(Kijana), nina miaka 23. Dini yangu ni Mkristo. Elimu yangu ni Degree, sasa hivi ni mjasiriamali. Natafuta binti wa kuanza naye mahusiano awe na miaka kati...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa kuanza Kabila langu Mnyakyusa! Elimu Masters of science in Finance Shughuli mwajiriwa wa Kampuni binafsi ya Kimataifa (Ulaya Magharibi) Umri 33 sina mtoto Umbo : Mrefu Mweusi si mwembamba...
6 Reactions
70 Replies
6K Views
Habari kama kichwa cha habari kinavojieleza natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo. Awe muislam na umri usizidi 3O. Awe mgumba au asiwe na mpango wa kuzaa. Awe mwenye mapenzi ya dhati na mwenye...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa Mabinti/Wife Material tu! Nasisitiza uzi huu ni kwa mabinti/wife material tu. Mwanaume usijishughulishe kwa sababu haukuhusu. Nitamshangaa sana mwanaume atakaye-comment hapa. Pili, hata kwa...
0 Reactions
3 Replies
855 Views
Back
Top Bottom