Natafuta mpezi wa kike ambaye ni H.I.V+

lockman

Member
Jul 22, 2021
10
20
Hi guys

Mimi ni kijana wa miaka 33 naishi NJOMBE nimegundulika na maambukizi ya VVU last month. Najishughulisha na biashara ya mazao, Elimu ni Degree ya Education, si mfupi si mrefu mwili wa kwawaida na nimeanza kutumia ARV, nipo vizuri kabisa

Nimekuja humu kusaka mchumba ili tuweze kuwa mme na mke kama tutaridhiana. Nilikuwa na mchumba lakini tulipoenda kupima ili tuoane nikakutwa nina shida ikabidi tuachane

Mwenye nia ya dhati anicheki inbox. Asanteni wapendwa
 
Nimekupenda vile ulivyoipokea hali yako.Na hii itakifanya uwe mwenye amani na afya kuliko hata wasio na maambukizi.Tatizo ukilivaa huwa haliwi tatizo ila ukilikana na ukagoma kulikubari basi litakutesa maradufu.Say Ameen
Amen
 
Hi guys

Mimi ni kijana wa miaka 33 naishi NJOMBE nimegundulika na maambukizi ya VVU last month. Najishughulisha na biashara ya mazao, Elimu ni Degree ya Education, si mfupi si mrefu mwili wa kwawaida na nimeanza kutumia ARV, nipo vizuri kabisa

Nimekuja humu kusaka mchumba ili tuweze kuwa mme na mke kama tutaridhiana. Nilikuwa na mchumba lakini tulipoenda kupima ili tuoane nikakutwa nina shida ikabidi tuachane

Mwenye nia ya dhati anicheki inbox. Asanteni wapendwa
Mambo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom