Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari zenu wana JF, Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details. Wasifu wangu kwa ufupi mimi nina umri wa miaka...
47 Reactions
227 Replies
47K Views
Habari zenu wanandugu nina umri wa miaka 26 elimu Chuo kikuu nimeajiriwa katika kampuni.natafuta mwanaume alie serious na mahusiano ya kuelekea ndoa.Awe na Sifa zozote ila awe serious na mahusiano...
19 Reactions
108 Replies
17K Views
Natafuta mwanamke mchaga wa kuoa awe mmachame au mrombo itapendeza Umri kuanzia miaka 22.awe tayari kupima na kuolewa ndani ya miezi sita
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Nimejaribu kutafuta mwenza humu lakini wapi naona wanawake wengi hawapo serious. Anakutafuta dm anapotea ghafla mara mwingine anaanza kupiga mizinga hata hamjuani, mwingine anakuomba picha...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Wasifu wangu 1) na miaka 25 2) elimu yangu diploma(engneering) 3)sijaoa 4)mpole 5)kabila mhaya 6)Urefu 1.8M 7)Dini, mkristo Wasifu wa girl ninayemtaka 1)umli awe na 24 au chini ya hapo 2)elimu...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Aisee wakuu, kuna mdada nadate nae ila sasa nimeanza kumchoka, saivi tuna takriban miezi 7. ila kila week lazima nilale nae ata mara 4 au zaidi ila saiv nmemchoka, maana nikimpga bao moja nakua...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu. Jamani sio kila single mother ni muhuni wengine ni matatizo yetu sisi wenyewe wanaume. Kwa mfano mimi hapa, nimesababisha single mothers wanne hapa...
7 Reactions
61 Replies
5K Views
Hello goodpeople. Brother wenu hapa natafuta pumziko la moyo. Nina 35 years Nina watoto wawili( naishi nao) Divorced Nina kwangu pia ni mkristo Natafuta mwananmke mweye sifa hizi Awe...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nahitaji mume wa kuanzia miaka 39 hadi 50. Awe mrefu na mkweli. Awe serious & Mwenye hofu ya Mungu. Nimejiajiri&nina mtoto mmoja. MUME WA MTU PITA PEMBENI, WENYE UMRI CHINI YA 39 PITA PEMBENI...
12 Reactions
69 Replies
11K Views
Hio hela iko fixed, nahitaji mwanamke mwenye akili timamu tuanze maisha kabla mwaka haujaisha. Umri ule ule wa kiserikali, top iwe 30. Mimi ni mkazi wa jiji la miamba, mvuvi wa samaki aina ya...
18 Reactions
94 Replies
5K Views
Upo baada ya kuchoshwa na vibinti vya mtaani kukulia hela unakuja zako jf unaandika zako unatafuta mke unataja na umri kinachofuata sasa MIJITU INAANZA *mke mwema hapatikani mtandaoni *Humo humo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Kuna waliowahi kukutana humu na kuwa wapenzi ukweli ukweli?
1 Reactions
151 Replies
12K Views
Name: John Residence: Tanzania & Kenya Job: University student I'm looking for woman, I don't care about the age. I would love someone kibonge🤣🤣🤣, akiwa na hips itakuwa poa Sana ila not a big...
1 Reactions
7 Replies
936 Views
Mi kijana umri miaka 33. Naishi Moshi..natafuta mwenza wa maisha ambae atakua mke tuwe na familia mungu akijalia. Mwanamke ambae mwenye uhitaji wa mwenza wa maisha alie serious tuanzishe mahusiano...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
salaam. Ama kweli wanaume smart wanao jitambua wanaojua thamani ya mwanamke, wote wameoa inasikitisha sana. Hivi inawezekana vipi kila mwanaume anae onesha interest kwangu nikamuelewa nikija...
45 Reactions
198 Replies
17K Views
Hello. Natafuta rafiki wa kike (Mwanamke) wa kubadilishana naye mawazo na sometimes kwenda outings just for fun and enjoyment and so forth. Awe ni mtu anayejiheshimu, muelewa, sio tegemezi na...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
iam sincerely looking for a Muslim man to be my husband if we match ,, if you are interested send me a msg for more details about I and myself.
18 Reactions
75 Replies
6K Views
Nimefungua uzi maalumu lengo ni kupeana connection ya wachumba Hivyo kama una rafiki yako wa karibu hayupo jf ila anatafuta mchumba basi weka vigezo vyake ili anahitaji umpe connection Mimi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari Ndugu, naomba niende moja Kwa moja kwenye point. Nimekuwa single Kwa muda mrefu Sana na nimejaribu kutafuta mahusiano Kwa muda mrefu kidogo(japo sijakazania saana) lakini naona kama sipati...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari za jioni wakuu, Napenda kuwashukuru wote kwa maoni na mawazo yenu kwa kile nilichokiandka siku za nyuma kidogo. Niliandika; Natafuta mwanamke wa kuoa Niliandika nahitaji mke na kweli...
11 Reactions
103 Replies
8K Views
Back
Top Bottom