Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari za majukumu Nimejitokeza hapa kwenu kwa lengo la kutafuta mchumba then baadae awe mke Sifa zangu: Rangi: mweusi Kimo: mrefu Miaka: 28 elimu: degree Location: mbeya Awe atleast na sifa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari jf kwanza kabisa napenda kutoa shukurani kw mungu mpk now nipo mzima wa afya nanyi natumai mu wazima kama nilivyosema natafuta mwanamke wa kuishi nae umri wake awe na 25 +..... 30 pia awe...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Habari mi ni kijana wa kiume umri 26 kutokana na nadhiri niliyojiwekea kwamba sihitaji kutongoza mwanamke yeyote mpaka yule ntakayekua na uhakika kwamba nampenda niko tayari kwa lolote. Uamuzi...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa miaka 31, Engineer by professional,mrefu wa futi 6 kasoro nchi 1,body la kiume na very humble. Nahitaji mwanamke wa kuoa,sifa kubwa zaidi hasiwe na gubu,awe msafi na mwonekano...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello wa JF Mimi ni mkaka nina miaka 33, nina elimu ya chuo nimemaliza 2011, nimejiajiri nipo Dar. Lengo la kuja hapa ni kuweka bayana kuwa nahitaji niwe na mahusiano na mwanamke aliyepevuka...
1 Reactions
1 Replies
787 Views
Nahitaji mwanamke ambae atakuwa mchepuko niko tayari kuwa nampa hela ya mtumizi 500k kila mwezi awe na vifutavyo *mweupe mwenye tako *awe anajua mapenzi *awe mrefu na pia ajue kuendesha gari
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa yeyote atakaaependa tuwe marafiki wa kuchat humu basi karibu pm au mimi nikaribie ya kwako. Nawapenda nyote peace and love y'all
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Anicheki 0715759884 Vigezo Dini yoyote,mweupe au mweusi Umri 28 -33 Asiwe na ukimwi na magonjwa ya kuambukiza
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Sifa zangu, nimeajiliwa serikalini, elimu shahada, umri wangu miaka 32, nina mtoto mmoja, nipo kibaha pwani, dini muslim. Siza za nimtajae, awe muislam, umri kuanzia miaka 20-28, elimu yoyote...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello I’m looking for Milf 40-100 A good looking and beautiful as well Should be employed or self employed I don’t prefer immature slayers 18-35
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Ili ni swal nimeulizwa na vijana watatu ambao wannia ya kuingia katika mahusiano ya kudumu yaani ndoa .. Taja vitu unavyovizingatia kabla hujavuta jiko ?
1 Reactions
2 Replies
571 Views
DON NALIMISON DESTINY FACT: Iam 40 years, I haven't wife, I haven't girlfriend, I haven't Children, I haven't Marriage, I haven't house, Iam Single, Unmarried.
9 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari Kwanza kabisa naomba namimi nijiunge nanyi katika mtandao huu, nimeamua kua mzalendo, sio lazima kutumia mitandao ya wazungu tuu tunahitaji kutumia vya kwetu pia. Niende moja kwa moja...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello habari Mimi ni mdada nahitaji mume aliye serious namaisha sina mtoto, sifa awe mkiristo ila awe Kanda yaziwa mengine tutaelezana PM karibuni. Asante sana na Mungu awabariki [emoji120][emoji120]
12 Reactions
184 Replies
14K Views
Yani kuna kajamaa haka sikajui jina ila kana mwanamke ambaye kama ukiwa naye tanzania kwa umbo lake unaweza kufa kwa presha.maana pesa itamchukua haraka kwa njia yoyote. Jamani mimi nashindwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31, Naishi Dar es salaam- ubungo Elimu : Bachelar Ajira: mwajiriwa serikalini Mdada nimtakae, Awe na mpole na mwenye nia njema Mzuri kiasi tu. Umri: awe na...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume Kabila mmakonde Miaka 31 Makazi Dar. NAHITAJI MWANAMKE: Kabila Mmakonde Makazi Dar Umri miaka 20 hadi 27 Aliye tayari aje PM
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Umri miaka 25-29 Mkristo Elimu kidato Cha nne na kuendelea Rangi (asiwe wa kijichubua) Makazi Dsm (au awe tayari kurelocate) Kimo wastani
2 Reactions
55 Replies
3K Views
Amani na iwe nanyi! Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae Wasifu wangu 1. Umri : Mtu mzima (Matured)40+ Years 2. Urefu: 5.6 Futi 3. Uzito: 80 Kg. 4. Rangi: Maji ya kunde 5. Kazi: Mjasiriamali 6. Elimu...
1 Reactions
70 Replies
5K Views
Awe na rangi yeyote Awe na Shape nzuri Awe na Heshima Aheshimu familia yangu Asiwe msumbufu Akubali kunizalia Asizidi miaka 40
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom