Ushauri wa kisaikolojia

renata1

Member
Nov 5, 2021
20
22
Hello wana jf mi ni mwanadada mfanyakazi serikalini sijawahi kuwa na mtoto! Naombeni ushauri wenu nilikuwa na mahusiano na mkaka akanitolea mahali na tulipanga tarehe ya harusi mwaka jana tumegombana ameanzisha mahusiano na mfanyakazi mwenzangu plz naomba yeyote mwenye kuelewa mtu wa saikolojia ushauri anielekeze nimtafute ili niweze kurecover na kusahau kabisa. Asanteni
 
jamaa mnafanya nae kaz sehm moja? kama hapana nxt tme jtahid kufcha mahusiano yako au mambo unayoptia kwenye mahusiano yenu kama furaha au ugomv kuwashirkisha wenzako mana hapo ndipo walpo chukulia point kazn n sehem ya Do your work get your salary Then go hom spend your money and Time.. pole sana
 
Hapana sifanyi nae kazi yeye yupo mkoa mwingine asante kwa ushauri
 
Hapo tatzo lpo kwa huyo mwenzio unaefanya nae kaz dear.

Cha msingi kubali kuwa ni hali kweli imekukumba ww na nafsi yako.

Futa namba ya hilo dume na anza upya.
 
Pole sana,futa kumbukumbu zake zoteeeee.Picha,vitu n.k then utakuja nishukuru.I wish nukae nawe masaa 4 tuongee but sijui upo wapi?Ila tambour wewe si wa kwanza kufanyiwa hivo hata mimi nimefanyiwa hivo na mdada.Tena nilijitoa sanaa kwake na akili yangu ilijua tayari mke ninepata.Aisee kilichotokea inashangaza! Ila ninasonga mbele,wanawake wapo wengi.
So hata wewe songa mbele,wanaume wapo wengi.
 
Pole sana, tumia muda wako mwingi kufanya ibada na kama sio mtu wa ibada jitahidi kujichanganya na watu. Ila jitahidi kutoanzisha mahusiano mapya kwa sasa.
 
Pole sana,futa kumbukumbu zake zoteeeee.Picha,vitu n.k then utakuja nishukuru.I wish nukae nawe masaa 4 tuongee but sijui upo wapi?Ila tambour wewe si wa kwanza kufanyiwa hivo hata mimi nimefanyiwa hivo na mdada.Tena nilijitoa sanaa kwake na akili yangu ilijua tayari mke ninepata.Aisee kilichotokea inashangaza! Ila ninasonga mbele,wanawake wapo wengi.
So hata wewe songa mbele,wanaume wapo wengi.
Asante
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom