Mke anahitajika kwa muda mrefu

UVIKO

JF-Expert Member
Jun 14, 2021
294
362
Sifa Zangu 1.Ni mzawa halisi wa kanda ya ziwa Ila Kwa Sasa sikai huko 2.Nina miaka 29 3.sina wazazi wote 2. 4.mm Ni mrefu na ni mwili mkubwa kawaida Ila mm siyo mwemba. 5.nina Mtoto mmoja WA kike ana miaka 2 6.Dini yangu ni mkiristo

SIFA ZA MKE NINAEMHITAJI.

1.Awe mcha Mungu 2.awe na Umbo la kawaida asiwe mrefu wala mfupi wala mnene 3.Swala la sex mpaka hatua zote za ndoa zikamilike. MENGINEO TUTAFAMISHANA PM.unakari ishwa kuuliza swali lolote kabla haujaja pm Ila kama swali linajibika hadharani hapa nitakujibu kama halijibiki nikujibu pm kalibuni ,
 
Sifa Zangu 1.Ni mzawa halisi wa kanda ya ziwa Ila Kwa Sasa sikai huko 2.Nina miaka 29 3.sina wazazi wote 2. 4.mm Ni mrefu na ni mwili mkubwa kawaida Ila mm siyo mwemba. 5.nina Mtoto mmoja WA kike ana miaka 2 6.Dini yangu ni mkiristo SIFA ZA MKE NINAEMHITAJI. 1.Awe mcha Mungu 2.awe na Umbo la kawaida asiwe mrefu wala mfupi wala mnene 3.Swala la sex mpaka hatua zote za ndoa zikamilike. MENGINEO TUTAFAMISHANA PM.unakari ishwa kuuliza swali lolote kabla haujaja pm Ila kama swali linajibika hadharani hapa nitakujibu kama halijibiki nikujibu pm kalibuni ,
Wanakuja sasa hivi
 
Mmh! sijuw yupo serious huyu au ndo kama yule..... Kani.... Halafu habar ya Ndoa ikaishia hapo hapo mpk leo.
Yan nyie wanaume mna dhambi sana aiseee
 
Kuna kipindi flani nimekiona hapo wanaenda wadada na wakaka wanatafuta wachumba kila anaetoka hapo lazima awe amepata type yake na wewe ungeenda huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom