Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Maisha xio haraka na haraka sio maisha Ivo Sina haraka na maisha na nahitaji Baraka kwan kutafut mke sio kukosa niliitaji Kama Kuna mtu atawiwa I'm free Sifa Ni simple ty Mkwel ,muwaz Umri;18...
1 Reactions
4 Replies
790 Views
Rafiki wa kike anahitajika umri kuanzia miaka 18 mpaka 50 Awepo maeneo ya Dar Dini yoyote kabila lolote Karibuni pm
2 Reactions
1 Replies
702 Views
1-Awe muislamu 2-umri 20-30 3- kabila lolote lile 4-Elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea 5-awe ameajiriwa au hajaajiliwa ni sawa tu,akiwa ameajiriwa basi akiwa mwalimu ni vyema zaidi. 6-Awe...
2 Reactions
11 Replies
790 Views
Habari zenu wakuu. Najitokeza kwenu mimi ni kijana wa kiume umri miaka 27. Ninaishi Dar es Salaam. Ninatafuta mchumba wa kike mwenye maambukizi ya virusi lakini awe anatumia ARVs. Mambo mengine...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nawasalimu Husika na kichwa cha habari hapo juu. Kama dini yako inaruhusu kuoa mke zaid ya mmoja basi karibu au kama hujaoa kabisa pia karibu[emoji847] Sifa zangu 29yrs Muislam Maji ya kunde...
14 Reactions
57 Replies
13K Views
Mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 18-45,awe na mfododo hata kidogo nataka awe mpenz wangu,nipo Geita,hakuna masharti,ila kupima HIV ni muhimu sana. [emoji16][emoji16][emoji16],aliye tayari aje pm...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za hapa ktk jukwaa pendwa mimi nimekuja kuomba ombi hapo juu natafuta mpz awe na miaka30/40mimi nina miaka39 awe mrefu kiasi pia awe amejiajiri au kuajiriwa mimi nimejiajiri pia dini siyo...
2 Reactions
3 Replies
840 Views
Sifa Awe na umri wa miaka 33 na kuendelea Awe Muislam na anajitegemea (mfanyakazi/mfanya biashara) Asiwe kwenye Ndoa Sifa zingine karibu pm
4 Reactions
3 Replies
754 Views
Hello Guys mimi ni Mwanaume miaka 30,naishi Dar,Am serious natafuta mchumba,Awe mkristu,mrefu wa wastani,maji ya kunde au mweupe asilia,Asiwe na mtoto,Elimu kuanzia form four na kuendelea, Awe au...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni ki kijana wa miaka 26 ni mrefu na mweusi kidogo nna mwili wasitani maana nina 69KG. Ni mfanyakazi wa sekta flani binafisi. nina usafiri na makazi ya kueleweka. Inshort nina kipato ila bado...
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Habari, hopefully mko salama katika kila jambo jema, mimi pia. Niko hapa kutafuta marafiki kwa lengo la kujengana, uzoefu na kadha wa kadha. Mmi ni Mwanaume, muajiriwa na msomi level ya Shahada...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Awe anayependa kupendwa siyo anayependa kuhongwa. Akiwa Mwanza itapendeza zaidi. Niko serious sana.
2 Reactions
10 Replies
991 Views
Wasifu wangu. Mrefu Mwembamba Dini -Mkirsto Kazi -Mwajiliwa serikalini Umri 32 Situmii kilevi chochote Natokea Nyanda za juu kusini Awe na sifa zifuatazo 1.Mkirsto 2.Mfanyakazi/Amejiajili...
4 Reactions
3 Replies
698 Views
Mi ni msichana nimeajiriwa na umma sijawahi kuishi na mume na wala sina mtoto kutokana na kusoma. Nahitaji mwanaume ambaye anania ya kuanzisha mahusiano mapya awe mkristo anaejishughulisha Asante
9 Reactions
39 Replies
5K Views
Kama nilivyojieleza hapo juu. Nahitaji mwanamke ili awe nyumba ndogo yangu. Napendekeza zaidi awa kutoka mikoa ya Mbeya zaidi sana mkoa wa Songwe. Mimi ni mfanyabiashara nina mke na watoto...
3 Reactions
76 Replies
5K Views
Wakuu habari na poleni na majukumu ya kila siku ya kujenga taifa. Natafuta mchumba wa kike Umri miaka 24 kushuka chini Elimu-kidato cha 4 na kuendelea Mimi binafsi kijana wa umri miaka 27 Ajira...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Aslaam aleyku ndugu zangu waislamu na wanajamii kwa ujumla,Mimi kwa majina naitwa ndugu suleimani Lucas kamwavahs,nilikuwa mkristo miaka kadhaa iliyopita ila kwa sasa in muislamu baada ya...
0 Reactions
59 Replies
19K Views
Nchi za ulaya zimeendelea zaidi katika maendeleo ya family sababu kule ndoa si kifungo kabisa hata nchi za Africa kama kutakuwa na ndoa za mkataba zitasaidia Mambo kama haya 1.kulinda Mali za...
2 Reactions
7 Replies
953 Views
Kama nilivyoanza hapo kwenye title. Age is just a number. Natafuta mwanamke ambae tutaanzisha mahusiano kwa mlengo mmoja tu, tuje tufunge. Umri mie nakubali wowote ule kuanzia 18 - 40. Kwanini ...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni kijana wa umri wa 27 Elimu: degree Dini: mkristo Makazi: dar es salaam Kazi: kujiajili, wakala wa Tigopesa na kusajili lines Anayehitajika Elimu: form 4 mpk darasa la 7 Msichana umri chini ya...
1 Reactions
5 Replies
984 Views
Back
Top Bottom