Natafuta mchumba

smati

Senior Member
Dec 24, 2010
149
5
sifa.

1. Awe DADA mlokole .

2. Awe mzima wa roho na mwili.

3. Asiwe amewahi kuonjesha kwa makusudi.

4. Awe na elimu yoyote.

5. Asiwe mzee sana ( age 18-30).

Deadline 20 january 2012.

Uchumba miezi 6, harusi miezi 9 baada ya kuanza uchumba..

Karibuni .
 
Jinsia? manake avatar inaonyesha we mtoto na suala la kuonjesha hata wanaume wanaonjesha??sasa tuambie jinsia ya yule unayemtafuta.
 
sifa.

1. Awe DADA mlokole .

2. Awe mzima wa roho na mwili.

3. Asiwe amewahi kuonjesha kwa makusudi.

4. Awe na elimu yoyote.

5. Asiwe mzee sana ( age 18-30).

Deadline 20 january 2012.

Uchumba miezi 6, harusi miezi 9 baada ya kuanza uchumba..

Karibuni .

Kwa makusudi ni aje?? Awe bila kudhamiria/ridhaa yake au??
Kama ni hivo awe alibakwa??
 
Kwa makusudi ni aje?? Awe bila kudhamiria/ridhaa yake au??
Kama ni hivo awe alibakwa??

hahaaa!! hii kazi, , Kama alibakwa nimemsamehe, tutapima na kama ana qualify sawa haina tatizo.,Lakini yule aliye fanya kwa kudhamilia nimemsamehe lakini hapa hajaqualify.
 
kila la heri mkuu, japo vigezo ulivyoweka ni vigumu sana hata kwa wapendwa walio wengi. Hivi mwanaume anapimwaje kama yupo sildi?
 
hahaaa!! hii kazi, , Kama alibakwa nimemsamehe, tutapima na kama ana qualify sawa haina tatizo.,Lakini yule aliye fanya kwa kudhamilia nimemsamehe lakini hapa hajaqualify.

Hayaaaaaaaaaaa mshamba!!!
Mi sitaki mshamba, kwa hiyo hujaqualify, manake mwanaume mshamba aisee.
Utanilitea mapresha tu.
 
Hayaaaaaaaaaaa mshamba!!!
Mi sitaki mshamba, kwa hiyo hujaqualify, manake mwanaume mshamba aisee.
Utanilitea mapresha tu.

Pole, naomba kubali tuu yaishe!!,lol
 
sifa.

1. Awe DADA mlokole .

2. Awe mzima wa roho na mwili.

3. Asiwe amewahi kuonjesha kwa makusudi.

4. Awe na elimu yoyote.

5. Asiwe mzee sana ( age 18-30).

Deadline 20 january 2012.

Uchumba miezi 6, harusi miezi 9 baada ya kuanza uchumba..

Karibuni .

Kweli wewe ni smati!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom