Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Hi to all, kwa mara ya kwanza najitokeza. Yaah mim ni kijana wa kiume natafuta mwanamke awe anaumbo la unene wa wakawaida, urefu wa kawaida, dini yeyote. Umri uwe kati ya miaka 18-23...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni Mwanaume,naishi Dar ,ni Mtanzania halisi,natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 19-24.Umri wangu ni miaka 34.Sibagui dini wala kabila,mimi ni Muislamu,ninafanya kazi kama mhandisi.kwa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Dada unayetafuta mwenzi wa maisha naomba unipm ili nikuungani na mume wako karibu sana
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimekaa mpweke kwa muda sasa lakini natafuta mchumba(msichana) mwenye vigezo vifuatavyo: Umri: 18-21 Shule: Awe amesoma/anapenda kusoma/ anapenda kujiendeleza Dini: Yoyote ilimradi tutaishi kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mie ni kijana wa kinyamwezi tena dume la mbegu, dozi yangu kutwa mara 3...nina umri wa miongo mitatu na robo, sina elimu ya kutosha kupambana na ugumu wa maisha. Nina vipaji vya ufundi wa vifaa...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Naitwa Amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe...
2 Reactions
139 Replies
19K Views
Inanipa wakati mgumu kumchagua ni yupi niwe naye ktk maisha yangu kama BABA na MAMA. Kinachonipa ugumu ni maisha niliyo yaexpirience hapa Chuoni ambapo kwa Asilimia mia moja ya wanawake, asilimia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sifa za mchumba: 1,Awe na Elimu ya kuanzia Chuo na kuendelea 2,Awe maji ya kunde(kwa rangi) 3, Awe mrefu kuanzia ft 4-5 4,Kabira lolote 5,Awe tayari kunipenda jinsi nilivyo 6.Dini (Muumini wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa dhati kabisa natangaza nia ya kutafuta mchumba kati ya miaka 18 ma 21 Awe mpole,Mzuri,Mtaratibu,asiwe mtata mtata kama members wa JF,Ajiamini,awe na mipango na mikakati yake ya kimaisha kwa...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Ninatafuta mchumba mkristo age 40-42 awe anafanya kazi kama mimi na mcha mungu pia.
0 Reactions
70 Replies
10K Views
Ninamda kiasi, japo nilikuta wenyeji katika hiki kijiji ila na mimi ninashamba lenye minazi kama15 Kwa maana mimi nimwenyeji wa kijiji cha JF Nakuomba Mwenyeji niliyekukuta Mhe,THE FINEST Mbunge...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jaman nimeingia kwenye hii category je mnanipokea??
0 Reactions
6 Replies
2K Views
NINAHITAJI MCHUMBA WA KIKE SICHAGUI DINI WALA KABILA,AWEMREFU WA WASTANI AWE ANAJUA KUSOMA NA KUANDIKA,MCHAMOLA MWENYEMAPENZI YA DHATI,AWE ANAAJIRA AU AMEJIARIRI,AWE ANAJITUMA NA MUADILIFU,MSAFI...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
kwa moyo wa dhati kabisa natafuta binti wa kuoa age 22-25
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jaman mlio kwisha tafta wachumba hapa naombeni data. Hv hao wachumba wanapatikana kweli au ndo changa la macho? Ntashukuru kma ntapata mifano hai.
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Dear East African Smart and Beautiful Girls, I am a man looking for a serious and commited girl for a serious relationship that will eventually grow to fiancee and later a wife - that is the...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Nawasalimu ktk Jina la Yesu Mwana wa Mungu alie hai. Nimekuwa mpenzi wa Jf kwa muda sasa na nimeamua kujiunga ili nitafute mwandani wa maisha kupitia jamvi hili. Nina umri wa miaka 28 na nina...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
WAPENDWA AKINA DADA WA JF, Najitokeza mbele ya jukwaa hili kuu kuelezeaaa nia yangu ya dhati ya kutafuta mchumba ambaye baada ya kuwasiliana naye na kukubaliana vema basi tufunge ndoa na...
1 Reactions
59 Replies
8K Views
Wakuu msaada kwy subject hapo juu! Natafuta mchumba wa kike,mwenye mvuto,mpole,intelligent but not on capitalization side,down to earth,young and elegant,mkristu pia awe amefunga kwaresma kama...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo 1. awe muislamu 2. awe mchamuungu 3. awe anapenda watu wangu 4. asiwe mpenda makuu 5. awe msikivu nipatikana kwa anuani hii kwa maelezo ya ziada...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom