Natafuta mchumba

IsangulaKG

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
706
386
Ni Ukweli Si Uongo wana JF. Mimi nina Miaka 30 Mwanaume Kamili..Natafuta Binti wa miaka 23-28.
Lakini ni Lazima Tuanze kama Marafiki kwa muda kadhaa tupate Kuzoeana kwa kila hali
 
jieleze vizuri unafanya kazi gani, una gari gani, una nyumba au umepanga na ni mitaa gani pia elezea na elimu yako ili wadada wajue wana deal na mtu gani uenda umechoka kifedha usije watia shombo wadada wa watu bure ukashindwa kuwapa hata hela ya kufulia pichu
 
Hebu ongea na smiles na rose1980 watakusaidia
 
Ni Ukweli Si Uongo wana JF. Mimi nina Miaka 30 Mwanaume Kamili..Natafuta Binti wa miaka 23-28.
Lakini ni Lazima Tuanze kama Marafiki kwa muda kadhaa tupate Kuzoeana kwa kila hali

Mbona mapema mno?
Ungekaa kaa kwanza usome upepo kabla ya kuanza kutafuta mchumba.
Nakushauri uende kanisani au msikitini utapata bweleleee chaguo lako tu kama unataka kuoa.
 
Ni Ukweli Si Uongo wana JF. Mimi nina Miaka 30 Mwanaume Kamili..Natafuta Binti wa miaka 23-28.
Lakini ni Lazima Tuanze kama Marafiki kwa muda kadhaa tupate Kuzoeana kwa kila hali

Unataka awe na Kijungu au?
 
jieleze vizuri unafanya kazi gani, una gari gani, una nyumba au umepanga na ni mitaa gani pia elezea na elimu yako ili wadada wajue wana deal na mtu gani uenda umechoka kifedha usije watia shombo wadada wa watu bure ukashindwa kuwapa hata hela ya kufulia pichu

Hapo kwenye red umenikumbusha mbali sana.
 
eehh mola sikiliza sala na kilio cha mtulutumbi..mtimizie haja ya moyo wake
mjaalie mke mwema mwenye busara na hekima ili aweze kulea watoto wake katika njia njema inayokufuraisha wewe mjalie mke mwenye kuongozwa na roho wako ili aweze kumshauri vyema katika unyofu na njia ztakazokurudishia utukufu eeh mungu baba!!!
muweke mbali na kina DELILA ili asije akapokonyoka ktk nia yako kwake kumleta ktk ulimwengu u....amen.
 
Angalia hapo juu pendekezo aanze na wewe kwanza mimi naomba Mungu umkubalie maombi ya Mtulutumbi
 
jieleze vizuri unafanya kazi gani, una gari gani, una nyumba au umepanga na ni mitaa gani pia elezea na elimu yako ili wadada wajue wana deal na mtu gani uenda umechoka kifedha usije watia shombo wadada wa watu bure ukashindwa kuwapa hata hela ya kufulia pichu

very good siku hizi wadada ni materialistics na wamekaa kibiashara zaidi
 
Ni Ukweli Si Uongo wana JF. Mimi nina Miaka 30 Mwanaume Kamili..Natafuta Binti wa miaka 23-28.
Lakini ni Lazima Tuanze kama Marafiki kwa muda kadhaa tupate Kuzoeana kwa kila hali

Yale mambo yetu yaleeeeee........... maana hutaki kununua mbuzi kwenye gunia au sio?
 
eehh mola sikiliza sala na kilio cha mtulutumbi..mtimizie haja ya moyo wake
mjaalie mke mwema mwenye busara na hekima ili aweze kulea watoto wake katika njia njema inayokufuraisha wewe mjalie mke mwenye kuongozwa na roho wako ili aweze kumshauri vyema katika unyofu na njia ztakazokurudishia utukufu eeh mungu baba!!!
muweke mbali na kina DELILA ili asije akapokonyoka ktk nia yako kwake kumleta ktk ulimwengu u....amen.

Vipi jama amekuPM nimemwambia utamsaidia bila shaka na huyu atakuwa anataka mwenye kijungu
 
Ni Ukweli Si Uongo wana JF. Mimi nina Miaka 30 Mwanaume Kamili..Natafuta Binti wa miaka 23-28.
Lakini ni Lazima Tuanze kama Marafiki kwa muda kadhaa tupate Kuzoeana kwa kila hali

safi sana mtulutumbi kwani kuna wengine ni mashoga lakini bado nao wanataka wanawake wa kuoa!!!!!kazi kwelikweli
 
Ni Ukweli Si Uongo wana JF. Mimi nina Miaka 30 Mwanaume Kamili..Natafuta Binti wa miaka 23-28.
Lakini ni Lazima Tuanze kama Marafiki kwa muda kadhaa tupate Kuzoeana kwa kila hali

Duu...Duuuu....Duuuuu.....Duuuume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom