Natafuta mchumba mschana ili mungu akipenda aje kuwa mke wangu.

pss

Member
Sep 13, 2010
5
0
Hi! naitwa paul nina umri wa miaka 28,ni mwanafunzi wa chuo .natafuta mchumba ili mungu akipenda,aje kuwa mke wangu wa ndoa.anatakiwa awe mkristo na mwenye hofu ya mungu,umri kati ya 18-26.kama kuna mtu yuko tayari tuwasiliane kwa email(salawaps@yahoo.com) kwa mawasiliano zaidi.please this is serious.
 
serios but not its place men,,,,go and report dat in magazine(newspepper) but by the way i wish you all dah best,,,,,
 
mwana huwezi pata mchumba anaekufaa kwa jinsi hiyo.kwa descriptions ulizotoa nakushauri uanze kuhudhuria choir kanisani.pale utapata wa kuendana nae tena utakua na wide range of choices.
 
All the best,
na mimi nina nia hiyo hiyo ila kwa kuwa bado mgeni nipo nasoma mazingira kwanza. Lakini mbona kama vile wengine wanasema haiwezekani kupata mchumba humu, ina maana wote wameolewa au waliopo hawafai?
 
mchumba kwa JF inawezekana ila itabidi umsome muda mrefu sana maana ile tit for tat unaweza jikuta unaolewa badala ya kuoa!
 
All the best,
na mimi nina nia hiyo hiyo ila kwa kuwa bado mgeni nipo nasoma mazingira kwanza. Lakini mbona kama vile wengine wanasema haiwezekani kupata mchumba humu, ina maana wote wameolewa au waliopo hawafai?

wewe jitose tafuta,kusomana ni mbele ya safari...humu utamsomaje mtu?si unasoma maandishi tu??:painkiller:
 
wewe jitose tafuta,kusomana ni mbele ya safari...humu utamsomaje mtu?si unasoma maandishi tu??<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/painkiller.gif" border="0" alt="" title="Painkiller" smilieid="235" class="inlineimg" />

well said.
 
Hi! naitwa paul nina umri wa miaka 28,ni mwanafunzi wa chuo .natafuta mchumba ili mungu akipenda,aje kuwa mke wangu wa ndoa.anatakiwa awe mkristo na mwenye hofu ya mungu,umri kati ya 18-26.kama kuna mtu yuko tayari tuwasiliane kwa email(salawaps@yahoo.com) kwa mawasiliano zaidi.please this is serious.

Chuo gani? (namaanisha kikuu, veta, hotel nk) na unasoma nini? tukushauri na kukusaidia vizuri.
 
tupo m way tu pm tu uone utayari wetu......................:teeth:
swali unatafuta experienced kwenye hiyo secta kwa muda gani..................
remember in any application, EXPERIENCE MATTER
 
Tag iko kwa ajili yako kaka,ingawa roho inauma nimekosa nafasi adhwiiiiiiiiiiiiiiim,bado naimani itakuja tena,wakaka nami nasaka mume jamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom