Anatafuta mchumba.

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,171
3,346
View attachment DawazakichinahazifaiakinaDADA.bmp
Wana JF yoyote yule aliye tayari aniPM nimuunganishe na huyu mama anatafuta mchumba kwa udi na uvumba!
Sifa kubwa nikuweza kuhimili turbo hilo maana likifunguka turbo hili kuzima ni Dk 25 baada ya gari kuzima! Fedha anayo ya kujitosheleza ni nyie tu kuchangamkia tenda.
Hiyo yote ni kwa sababu ya mchina, mchina nuksi kweli!
 
Duh! nataka mmaza lakini huyu hapana.kwanza ni mzungu.ukipata mweusi wa kibongo ni PM hata kama hana hela me ninayo yeyetu awe tyari.
 
Uuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, aise, hiyo kitu naitaka haraka sana. Tafadhari nipe contact zake. :clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Wakuu mimi mwenyewe naona leo ndiyo Valentine day napeleka posa kwa jimama la kiukweli kabisa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom