Natafuta mpenzi/mchumba Europe

mgosiwasui

Member
Dec 18, 2010
5
45
Mimi ni mtanzania ninayeishi Scandinavia na nimechukua uraia wa hapa. Natafuta mpenzi/mchumba anayeishi Europe kwa sababu itakuwa ni rahisi kutembeleana na kuwasiliana. Mimi ni mtaratibu, mkimya lakini nina a very good sense of humor.
Mimi: Nina umri miaka 39, urefu 6'2, 90kg, mfanyakazi ya kudumu baada ya kupata masters degree.

Mengi nitamjulisha atakayeniandikia

Msichana awe : Miaka 29 - 36
Taratibu lakini mchangamfu
Dini yeyoye ( japo mimi ni mkristo)
Awe msafi na anayejua kujitunza
Amesoma hata form

Niandikie kwenye wejon123yahoo.com
 
Audax

JF-Expert Member
Mar 4, 2009
443
195
weka sifa zako hapa, na utwambie unajishugulisha na nini, maana kuna rafiki yangu yupo uholanzi naye alikuwa anahitaji mchumba, hivyo nitajitahidi kumtumia hii email yako !! Huyo rafiki yangu ni anasoma masters na anakaribia kugraduate pia, ana umri kati ya 31-33.She is beatiful and descent too. she is Christian (RC).
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
87,814
2,000
Aisee ngoja na mimi niweke tangazo langu humu maana huwezi jua bahati ya mtende....
 
roselyne1

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
1,369
0
kila la kheri,mie naziogopa kweli nchi za scandnavia kwa upweke...naskia weusi ni wachache hivyo unafeel isolated sometimes au?
 
semango

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
532
195
Aisee nani kawaambia hii ndio njia sahihi ya kupata life partners?acheni short-cut za ajabu.hii ni sawa na mamba aliyekaa mdomo wazi anagonja samaki yeyote aingie mdomoni.utandawazi ucwe sababu bwana.wife anatafutwa kwa jasho.sio kupost tu ombi kama hivi maana naona imekua fashion sasa.
 
Nyadhiwa

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
265
225
Mimi ni mtanzania ninayeishi Scandinavia na nimechukua uraia wa hapa. Natafuta mpenzi/mchumba anayeishi Europe kwa sababu itakuwa ni rahisi kutembeleana na kuwasiliana. Mimi ni mtaratibu, mkimya lakini nina a very good sense of humor.

Msichana awe : Miaka 29 - 36
Taratibu lakini mchangamfu
Dini yeyoye ( japo mimi ni mkristo)
Awe msafi na anayejua kujitunza
Amesoma ama hajasoma ni sawa tu

Niandikie kwenye psamwel31@yahoo.com

Una umri gani tafadhali?
 
Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,297
1,250
weka sifa zako hapa, na utwambie unajishugulisha na nini, maana kuna rafiki yangu yupo uholanzi naye alikuwa anahitaji mchumba, hivyo nitajitahidi kumtumia hii email yako !! Huyo rafiki yangu ni anasoma masters na anakaribia kugraduate pia, ana umri kati ya 31-33.She is beatiful and descent too. she is Christian (RC).

Umeisha mlamba? Mchungaji is curious
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom