Natafuta mwanamke wa kuoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mwanamke wa kuoa

Discussion in 'Love Connect' started by Mtumwa wa kweli, Feb 17, 2011.

 1. M

  Mtumwa wa kweli Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila mafanikio, imenibidi nije hapa jukwaani ili kama kutakuwa na matatizo ya mtu kama mimi basi tuweze kujiunganisha. Nipo serious katika hili na hakuna utani hata kidogo. Natafuta mke mwenye sifa hizi.
  1. elimu kuanzia form 6
  2. awe mrefu kiasi na si mfupi sana
  3. awe mnene mwenye shape nzuri inayovutia
  4. awe mkiristo
  5. awe tayari kufunga ndoa kanisa langu
  6. awe mweupe au langi ya maji ya kunde
  7. awe mwaminifu katika mapenzi
  8. awe tayari kwenda kupima afya.

  mimi ni mrefu, mweupe kiasi na nina shahada moja.

  aliye tayari tuwasiliane kwa email hii mtumwamtumwa@yahoo.com
   
 2. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mtumwa wa ukweli, katika swala zima la mwanamke wa kuoa, umeweka kigezo no 1. kama elimu, unahasara katika ndoa yako, either kama huko serious, ndoa haina chuo, ndoa haina mwalimu, ndoa haina mkufunzi bali ndoa njema utaipata kama utapata mwanamke anayemcha Mungu tu basi, kuna faida gani kupata mwanamke form six, then ukimuuliza kitu anakushikia kiuno? Tafuta anayemuogopa Mungu kwanza, vigezo vingine vyote vinapatikana tu, weupo huo unanunuliwa dukani lakini si hekima, utu, na maarifa.
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160

  mmmhhhh Susy,mbona we kwako uliweka kigezo cha weupe hukujua unaweza nunuliwa dukani?wewe vigezo uliweka iweje mwenzio asiweke?

  Mungu ni mwaminifu,yeye ni baba yetu anasema huwezi omba hiki akakupa kile,anajua matamanio ya mioyo yetu na nani yu sahihi kwetu,daima hawezi kupa mwanamke ambaye huvutiwi nae na kaka yangu endelea kuwa na vigezo vyako,usichukue mwanamke mradi mwanamke,tafuta yule roho inaridhia,la muhimu mtangulize Mungu na uwe na subira,kama Mungu akileta wa tofauti,utakuwa unavutiwa nae na vigezo vyake utavikubali,lakini kamwe usioe mwanamke asiye meet expectation zako,utaumia!!!

  Nakutakia kila la kheri......

  NB: ingependeza ungeweka nawe vigezo vyako wajue.
   
 4. g

  geophysics JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Leta tatizo lako JF baada ya maombolezo...Yaani watu tunatafakari mustakabali wa mabomu yanayoua raia wema wewe unatuletea mambo ya ngono na ufuska.... unadhani waliofiwa na ndugu zao watakuelewaje ... Si ni kama mwenzio kafiwa wewe unapiga muziki... Tafadhali issue yako iweke on hold kwanza tuongelee suala la Gongo la mboto.
   
 5. mndumsolo

  mndumsolo Member

  #5
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  geophysics.., maisha hayawezi kusimama kwa sababu ya mabomu ya Gongo La Mboto..!
  Tunasikitika ndio kwa maafa hayo makubwa lakini hatuwezi ku-stop-isha maisha kwa sababu ya hilo...!
  Maisha yanaendelea..!
   
 6. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kuna msichana sijui susy! anatafuta mwanaume mwenye sifa zako za weupe na urefu embu tafuta thread yake.ila mbona huwa hatupati feedback?
   
 7. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Yaan michelle mie nashangaa comment za watu wengine yeye mwenyewe hapa aliweka hadi rangi hakujua kama mungu yupo na labda kampangia mweusi? Tena nilicoment kabla sijasoma post yake nisingemwambia jamaa amtafute. ama kweli nyani haoni kund...e
   
 8. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tuna huzuni mkuu, lakini sio kilakitu kisimame (makinda style), lazima tuendelee kutatua hata matatizo mengine...
   
 9. k

  kisukari JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Good luck ila jamani muwe mnatupa matokeo,ili na mimi nikiwa tayari,na mimi niweke application yangu humu humu. maana i've got the feeling wangu na mimi yumo humuhumu.
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Ngono na Ufuska viko wapi? kutafuta mwanamke wa kuoa ni ufuska na ngono?baba yako alivyokuwa anamtafuta mama yako ilikuwa ufuska na ngono???? heshimu wenzio.....tunasikitika sana yaliyotokea gongo la mboto na tunawaombea lakini maisha yetu lazima yaendelee!!!
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160

  Mkuu hatuwezi simamisha shughuli zote kisa Gongo la Mboto.

  Una maanisha tushinde tunalia na kuomboleza bila kufanya kazi na majukumu mengine??

  Kweli ni janga lakini maisha lazima yaendelee
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Mie nawaambia humu jokes ni nyingi kuliko ukweli ndo maana watu wanasahau walichopost na kuomba ushauri
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo na wewe weupe wako ni wa kichina? Angalia kipodozi kitadunda
   
 14. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Duh!
  watu kwa ulalamishi bana! na mie nimecoment the way alivyocoment kwenye post yangu!!
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,478
  Trophy Points: 280
  :coffee::coffee::coffee:

  Napokupendea Michellle wangu....ni kama hapa!

  Ebo!
   
 16. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Makubwaaaaaaaaa!!!!!:laugh::laugh:
   
 17. M

  Mtumwa wa kweli Member

  #17
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ni kweli lazima maisha yaendelee hata kama kutatokea nini, nashukuru kwa ushauri wenu ila hadi sasa matokeo ni bila bila, mimi sina utani katika hili, namaanisha kabisa, nasaka mwandani, mnaoleta utani siwaelewi, matokeo nitawapeni, pia nilisahau kigezo cha umri, awe kati ya 20-26.
   
 18. Sis wa ukweli

  Sis wa ukweli Member

  #18
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nitumie picha yako
   
 19. M

  Mtumwa wa kweli Member

  #19
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  tuwasiliane kwa emil yangu ili tukutane kabisa.
   
 20. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #20
  Feb 17, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  All the best, naona Susy ana-meet vigezo vyako, unaonaje mki-PM-ana?
   
Loading...