Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nawasalimu Wapendwa wanajamii, Mimi ni mkaka/Mbaba wa miaka 38 na ushehe, mrefu kiasi na maji ya kunde. Nina maisha yangu na si tegemezi. Ninahitaji mama/dada aliepevuka kwa akili anaejua maisha...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Nipo sirious kwa jambo hilo. aliyetayari ani-pm bt awe mwembamba wastani,mwaminifu,mkweli,mkristo au aliyetayari kuwa mkristo,awe anavutia,color-chocolate to white,mpenda na mcha Mungu,alie na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Am looking for a husband, Sifa: mwembamba kiasi, mrefu, awe msomi at list first degree, independent mind, caring, mwaminifu, charming, mwenye hofu ya Mungu, christian, smart in everything...
4 Reactions
66 Replies
7K Views
awe na umri 18-23, elimu form four,umbo la kawaida na awe na afya njema bila kusahau awe na tabia za kupendeza. Email kaboyoka.joseph@yahoo.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
I am a guy and recently I have joined Jf....In my years of living I have met so many people in different social networks.In jf...i hope to meet someone special but should be the opposite sex whom...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Haya mabinti bahati yenu hiyo sasa,aliyetayari pls aniwekee PM. SIFA Asiwe mlevi. Awe mrembo. Asiwe mrefu sana wala mfupi sana. Awe tayari kuishi na mimi mpaka atakapopata mimba,baada ya hapo...
0 Reactions
118 Replies
8K Views
Namaanisha Mwanza na Musoma na vitongoji vyake, Mimi ni mgeni huku,nimekuja kikazi pande hizi, natafuta kampani(girls only) tubadilishane mawazo(zaidi ya kimaendeleo) nyakati za jioni(baada ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25 natafuta mpenzi wa kumuoa kwa baadae kama atakuwa na tabia nzuri kam upo tayari piga namba 0656179600 jua kuwa namaanisha. maana niliwahi kuandika lakini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari zenu wanajamvi. Mimi ni binti wa kike, ambaye moyo wangu u mpweke. kwamara ya kwanza najitokeza jamvini kumtafuta rafiki wa kiume mwenye nia ya dhati ya kuwa na mahusiano ambayo yatalenga...
4 Reactions
69 Replies
6K Views
habarini wanajf mimi ni mkaka nna shida na mdada yeyote ambae amechaguliwa pale chuoni nna mambo mazuri na ya heshima nataka anisaidie. naomba tuwasiliane kwa email, nkwilehii@gmail.com au namba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana jf wa Kahama mimekua hapa Kahama kwa mda wa mwaka mmoja sasa lakini sijapata mtu wa kuhusiana nae mahusiano ya dhati hivyo kama kuna mtu yuko interested naomba ani PM. Mie ni mwanamme mwenye...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nina miaka 43,natafuta mwanamke anaeitaji mume na ambae yuko tayari kuolewa,sitaki vijana ni waongo sana wengi wana malengo binafsi,natafuta mwanamke kuanzia miaka 40 na kuendelea,kama unaitaji...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
natafuta rafiki wa kike awe mchesh na asiwe mkaid kuelewa awe na umri kat ya miaka 22 na kuendelea awe anapenda sana michezo km basketball na km upo tayari piga 0785821851
0 Reactions
1 Replies
806 Views
SALUT wana JF. Mimi ni kijana wa kitanzania, mwenye maadil mema, ila tatizo siwezi kutongoza. Nkimkaribia mwanamke huwa natetemeka na nakosa cha kusema. umri unaenda na uzee unakaribia. Natafuta...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hivi ni kwa nn Madada zetu ama Mabinti wameingiwa na kasumba ya kutojikubali maumbile yao nakukimbilia kuyaongeza? Unafikiri ni kwani wanafanya hivyo? Katika utafiti wangu wa maoni: Kuna baadhi...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Eti nimetafuta mpenzi apa Jf moja kati ya sifa nilitaka awe single kuna jamaa akansema kumpata single ktk dunia hii labda usubirie anaezaliwa leo! Kama ndo hvyo basi tubanane umo umo kwa wake za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wanajamii mimi ninarafiki yangu ambaye ni mwathirika wa HIV anatafuta mchumba wa kumuoa mwenyetatizo kama lake yeye anafanya kazi inayomwingizia kipato kiasi na ni msomi, so sad co hakupenda kuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mimi ni naitwa mussa wa arusha. narudia tena kenye janvi hili natafuta mchumba ambaye atayekuwa mke wangu. akiwa mikoa hii dar es saalam, arusha, kilimanjaro, singida, manyara na tanga itakuwavizu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji kuolewa,niwe na familia yangu nitulie kwangu lakin kila anaejitokeza anakuwa tayari ana mtu mwingine kitu ambacho mi sitaki,yaan nawaza mpaka ht nashindwa nifanyeje manake umri nao km...
2 Reactions
45 Replies
7K Views
uwe mkubwa futi kumi na mbili kwa kumi na tato utoshe kuweka kitanda changu cha sita kwa sita maeneo ya sinza kodi iwe bei rahisi kidogo na umeme na maji viwe vya uhakika
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom