natafuta mchumba wa kike

Aug 2, 2012
10
8
Habari ,
Naitwa Saidi, natafuta mchumba ili tufike kwenye ndoa. Mchumba ninayemtafuta awe mwenye umri kuanzia miaka 23 hadi 25. Awe na elimu ya chuo kikuu au form six, awe muislam, mkweli, mwaminifu, anayejishughulisha, asiyekuwa na watoto, pia awe tayari kupima Ukimwi. Namba yangu ya simu nitatoa baada ya kufahamiana na mhusika. Email yenye picha itapewa kipaumbele zaidi. Napatikana kwenye email: saidi.bakari@rocketmail.com
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom