kama we kweli msichana upo singo inakuhusu hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kama we kweli msichana upo singo inakuhusu hii

Discussion in 'Love Connect' started by Maybach, Sep 11, 2012.

 1. M

  Maybach Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NATAFUTA MPENZI"
  1.AWE MZURI
  2.AWE MSAFI
  3.AWE NA HESHIMA KWA WATU WOTE
  4.TABIA NZURI
  5.ASIPENDE PESA
  6.AWE NA MIAKA ISIZIDI 20
  7.AWE MVUMILIVU
  8.AJUE KUPENDA
  9.SICHAGUI HALI..MASKINI AU WAKISHUA ME NTAMPENDA TU
  :baby:
   
 2. NyotaMalaika

  NyotaMalaika Senior Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 150
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Dah namba 5 tu sijaqualify...
   
 3. M

  Maybach Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hahaha ucpende pesa ww
   
 4. M

  Maybach Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pende pesa ww utaumia
   
 5. B

  Bi nyakomba JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 386
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  namba 5 na 7, zimenitoa out
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,127
  Likes Received: 7,081
  Trophy Points: 280
  Labda mimi ni Kilaza, hivi Msichana asiyedhidi miaka 20 si anapaswa kuwa shule? sidhani kama mleta mada unajitambuwa.
   
 7. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145

  Wadada siku hizi kuolewa imekuwa ni ishu kama kupata kazi mpaka uwe na qualifications fulani, lol!
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,139
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  yaani tunapoteza ada huko mashuleni hadi basi.

  Unahangaika na tranka mtoto anatafuta mpenzi.

  Nyie watoto mtatuua wazazi wenu.

   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,237
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Umeona ee! Kweli wazazi kazi tunayo.
  Miaka yetu haya mambo hayakuwepo kabisa!
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,139
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  anatongoza kwa vocha zako, kwa komputa yako, ada unalipa.

  Na jioni kanagonga wali harage bila wasi.

   
 11. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,196
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Hapo kwenye suala la pesa. Utatafuta mpaka uchoke. Pesa ndo mapenzi. No pesa no mapenzi.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 12. M

  Maybach Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wapo kibao 2 jombaa
   
Loading...