Ndoa inanitisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa inanitisha

Discussion in 'Love Connect' started by jasmin abdulrahman, Sep 14, 2012.

 1. j

  jasmin abdulrahman Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninamchumba sinamuda nae mrefu ninamiezi nae3 ndani ya miezi hii aliniforce ili alete barua kwe2 nikamruhusu. Nikackia kumbe alikuwa na mwanamke kampa mimba nikajamuuliza kakubali kama alikuwa nae ila kuhusu mimba ye hajui. Nikamkataza kucheza kamali kumbe bado anacheza kwa kujificha. Juzi katoka kuliwa laki 7 za kazini hakubakiwa hata sent leo nimepata fununu kutoka kwa wasichana wa karibu yake wanadai nimeingia mkenge hvyo nataka nimwambie aje achukue barua yake sitaki tena kuolewa nae. Au mnanishauri vp ndugu zangu
   
 2. b

  bidada Senior Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Angalia moyo wako unasemaje juu yake, je umejaribu kukaa nae na kuzungumza nae kuhusu mambo yake ambayo huyataki? Kama ndiyo na unaona hashahuriki chukua chako mapema mwaya usije poteza muda wako bure baadaye ukaja jutia.
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,296
  Trophy Points: 280
  Na bado utasikia mengi tu!!

  Kamari hua zina uhusiano na Ujambazi, Umafia n.k.!!
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,812
  Trophy Points: 280
  ....Sepa haraka sana.
   
 5. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Uwezo wa kumbadilisha mpenzi wako unao dada,angalia nafsi yako imeshiba vipi juu yake lakini kama unahisi haupo safe na anakuweka roho juu juu nakushauri mrudishie tu barua yake ya posa so kwa ujumla maamuzi ni yako dada.
   
 6. Kisiya Jr.

  Kisiya Jr. Senior Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukimuaacha unamsusia nani hayo matatizo? Pia utakua humtakii mema ktk maisha. Play your part,kuna nafasi kubwa sana itumie kumbadilisha.
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mpe muda, saa nyingine maneno ya kusikia ni uzushi. Fanya mikakati ya kuhakikisha, jaribu abadili tabia at the same time mambo ya ndoa kwanza yaweke on hold.

  Ukichoka mteme....
   
Loading...