Matured Lady

Lait noir

Member
Aug 23, 2012
96
49
Nawasalimu Wapendwa wanajamii,

Mimi ni mkaka/Mbaba wa miaka 38 na ushehe, mrefu kiasi na maji ya kunde. Nina maisha yangu na si tegemezi.

Ninahitaji mama/dada aliepevuka kwa akili anaejua maisha maana yake nini na 'Muogopa Mungu', Kabila na ukoo sio ishu sana kwa sasa. Elimu ninajua itakuwa 'inatosha tu' kwa wengi wanaopita JF.

Kwa aliye na mtoto itapendeza zaidi
 
duh! sasa si uongee na huyu b2k muelewane ila yeye kasema hana mtoo wala hujui michezo. na elimu kasema ya chuo. hebu jaribuni kujuana?
 
Last edited by a moderator:
Nawasalimu Wapendwa wanajamii,

Mimi ni mkaka/Mbaba wa miaka 38 na ushehe, mrefu kiasi na maji ya kunde. Nina maisha yangu na si tegemezi.

Ninahitaji mama/dada aliepevuka kwa akili anaejua maisha maana yake nini na 'Muogopa Mungu', Kabila na ukoo sio ishu sana kwa sasa. Elimu ninajua itakuwa 'inatosha tu' kwa wengi wanaopita JF.

Kwa aliye na mtoto itapendeza zaidi
kuna mdada ni rafiki yangu ana mtoto,ni mwalimu,ni graduate,mtaratibu na anaimba kwaya,aliolewa wakaachana na mume wake!nimekaa nae miaka karibu sita namfahamu vizuri na katika miaka yote hiyo huwa najiambia mume wake hakujua ameachana na lulu kiasi gani!unaweza kunipm kwa taarifa zaidi
 
Bado unaendelea kutafuta au umeshapata. Niko mimi nina mtoto Mmoja ana miaka 4.

karibu kwa mazungumzo zaidi
 
u seem to b a nice guy! unfortunately nimeolewa na Asprin, kud have PM'd u! nways all the best my brother!
 
Last edited by a moderator:
u seem to b a nice guy! unfortunately nimeolewa na Asprin, kud have PM'd u! nways all the best my brother!
What??? OMG!! Do you know your password is my rightful property? Don't you dare.... someone will get killed!
 
hivi kwa nini wanaume waliozidi 35 humu wanataka binti mwenye mtoto tayari
hizi toto less than 25 ni upuuzi mtupu badala mjenge maisha mnaanzia urafiki-uchumba -uhusiano-ndoa outing nyingi ufujaji wa hela mwingi khaaa ukumpata huyu direct ni mke na maendeleo kama ana akili timamu pia
 
hivi kwa nini wanaume waliozidi 35 humu wanataka binti mwenye mtoto tayari

hawa wanajitambua tayari,yanini kujipa headache na binti ambaye bado anataka kwenda fiesta,then mara nying wanaume wa hiyo age wanakuwa tayari anawatoto so kidog it does balance kwani inamsaidia kuwa assured kuhusu malezi ya wanae kwani na hyo mwanamke nae ana watoto/mtoto.kwa ujumla at that age mtu antaka kutulia jamani sio tena maswala ya kupiga simu kwa mama kuwa mume /mke hajarudi wakati ndo kwanza saa nne usiku!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom