Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni kijana ,nipo chuo kimoja hapa nchini natafuta mwanamke awe muislam,mwenye umri chini ya miaka 25,awe mfanyakazi wa serikali au awe mwanafunzi wa mwaka wa tatu ktk degree ya uwalimu, mrefu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
jamani me nna miaka 24, natafuta mwanamke wa kuwa mpenzi wangu mwenye miaka kuanzia 35 mpaka 50, sifa yoyote ile, me nna mapenzi ya kweli, aliye tayari ani PM. Matusi sitaki. Nawasilisha.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari wan JF kwa jinsi weekend ilivyo naona kama kuwa ndefu sana kutokana na sikukuu sasa kwa yeyote aje tujumuike kwenye wekeend kuspend it is just for the fun cozi niko mpweke this weekend...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumaini hamjambo wapendwa wanajamvi..mie ni kijana wa early 30s niko Arusha, mwajiriwa wa kipato cha kati, mkristu. Natafuta mwandani wa ubani mwenye kujitambua, ideally please be: 1. 20-29...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Am 23 cul n' lovely boy frm tmk natafuta girlfriend who hav gut 2love.,whoever wishes 2own me jst leave ur contact.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahtaji binti mrembo na mwenye kujipenda,aishiye dar, awe na elimu ya kidatu cha 6++...... mwenye cfa hzo anichek...!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanajf. Mimi ni Kijana ninayeishi Arusha. Nimezaliwa kwenye familia ya Kiislam yenye msimamo wa Kawaida. Umri wangu ni miaka 39 na sijawahi kuoa japo sasa natamani sana kupata mwenza...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama wewe ni binti, nakualika tuongee kupitia Skype, Google talk, mie ni mwanaume, nipm kwa ajili ya kubadilishana usernames. Mazungumzo yote na uwezekano wa kuanzisha uhusiano wa aina yoyote au...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitwa Salim Athuman, umri wangu ni 27, kwa imani ni Muislamu na kwa sasa ninaishi DSM. Nahitafuta msichana mwenye umri kati ya 22 hadi 25 na sifa kubwa awe Muislam, mpole na mwenye kujiheshimu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
haipiti siku humu ndani lazima aje mtu kutafuta mchumba humu ndani.....all in all ni jambo zuri kama huyo mtu yuko serious.... sasa kinachonishangaza ni kuwa huwa hatusikiiii chochote kile...
1 Reactions
130 Replies
29K Views
Habari zenu wanajf. mimi ni mschana,nina elimu ya degree, ni mkristo, natafuta mchumba mkristo asizidi miaka 33. Naomba sana unitumie sms, usipige simu tafadhali maana nipo kazini muda wote. Sms...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Am Johnson, nina miaka 32, elimu ya chuo kikuu,ni mwajiriwa. Nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo; 1. Elimu; kuanzia kidato cha nne 2. Mwonekano; asiwe mwembamba sana, mfupi sana, wala mrefu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
mambo vipi waungwana naombeni munisaidie nitampataje mpenzi wa kweli nipo katiaka harakati za kumtafuta mchumba nisaidieni:flypig:
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mm ni mscana wa miaka 25.graduate,mrefu,shape ya kiafrika,nabia nzuri.natafuta mchumba kuanzia miako 29 -40.awe mchristo,mrefu,.mwenye mapenzi ya kweli.mengine tutaongea
2 Reactions
31 Replies
4K Views
natafuta rafiki (strictly platonic) wa kwenda nae gym na kupiga stori za kawaida wakati wa jioni. vigezo awe na usafiri binafsi awe wa eneo lolote dar es salaam ajilipie membership mwenyewe tuma...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Jamani salama! Nilikua na mpenzi niliempata facebook lakini yuko nje ya TZ, nikapata mwengin wa twittr ambye alikua celebrity toka Niger xo 2kashndwana. Nimeona nitafute kutoka hapa jf labda...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Natafuta msichana wa kumuoa umri kuanzia miaka 20-22 elimu form 4 awe anaupenda na anaufahamu mkoa wa kilimanjaro when you want to marry me please tuwasiliane email amedeusmushi88@gmail.com
0 Reactions
15 Replies
2K Views
if you can only open your eyes you will find a good man or woman is sitting all along infront of you waiting for you to say a word. Mke au Mume mwema atoka kwa Mungu if you just blive and have...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ni mtumishi wa serikali ninaelimu ya chuo kikuu ninatafuta mchumba wa kike awe na umri kati ya miaka 20 had 27 awe mcha mungu awe na elimu ya kdt cha 4 na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom