seeking 4 a commited girl should be born again christian, of 18 to 20 years taking or has diploma or degree of any business courses preferably from Dar es salaam colleges
Mi naitwa MUSSA wa ARUSHA, naitaji mwanamke ambaye yuko sirious anayeitaji kuolewa na ambaye anaishi arusha ili tuweze kuonana kwa urahisi
SIFA ZANGU
ELIMU: chuo kikuu
KAZI : nimeajiriwa...
mi nimsichana natafuta mwanaume mwenye msimamo kwenye maisha awe mwaminifu mwenye kujali na kunipenda kwa dhat, awe mweupe au maji ya kunde si mrefu sana na awe anafanya kazi inayomwingizia kipato...
Salam! natafuta mke wa kuoa, awe mnene,hata akiwa na mtoto mmoja sio mbaya, umri usipungue miaka 30 kwenda juu ,mkristu, mimi nina miaka 36 kwa sasa, nina mtoto mmoja wa kiume, nafanya kazi...
Habari kwenu wana JF.
Nimekuwa nikijiuliza kwa mda hivi ya kwamba ndani ya GT yupo mdada aliyeokoka? kama ni kweli tafadhali fuatilia maelezo haya na kama yamekugusa usisite kufanya kile ambacho...
Wadau Eid Mubaraq,
Natumai mnatabaruq maaqul al'asir hii na wale ambao mida bado haijafika basi naona kwa mbaali mmeshajaza mate midomoni na kuandaa njaa. Binafsi nimeshaweka tayari ndizi 3 mbivu...
Natafuta mwanaume,ambae ataniamini,natafuta mwanaume ambae atakuwa hana mashaka na mimi ambaye atakuwa anaamini mimi ni mwanamke mkweli kwake yeye,mawasiliano yangu haya hapa mwadisai@gmail.com...
Hello JF
Najitokeza kwa mara ya kwanza kabisa hapa jamvini kuwasilisha tatizo au hitaji langu la msingi sana.
mimi ni kijana wa makamo.najitokeza kutamka wazi hitaji langu la kumpata mwanamke...
Jf wa kike mambo? huwa napenda sana kuchat na marafiki wa kike kwa njia yeyote ile,sina kigezo chochote zaidi uwe mwanamke wa aina yoyote hata watu wazima poa tu,aliye tayari nicheki kwenye tigo...
Quand j'ai regardé pour un amant, il est devenu très difficile pour moi, mais je crois qu'il faudra quelques jours pour que la femme à venir me. Maintenant, c'est pas facile pour quiconque...
This iz ma first time to appear in JF, After being disapointed one of the person miongon mwa niliowasimulia alinishauri nifanye hivi yani ni join JF, Nakuwambia members hasa wanawake wapweke kama...
naitwa Joel,nina umri wa miaka 32,nimejiajiri mwenyewe,nina urefu wa futi 6 na mwili wa kawaida,rangi ni mweusi.mkristo.mengineyo tutafahamishana baadaye.
Habari wana JF. nahitaji msichana mmoja mwenye kujitambua kwa ajili ya serious relationship na wala sio kupotezeana muda. umri usizidi 25yrs. nina 27yrs. please aliye tayari ani PM, tutaanza kwa...
habarini wana jf,kutokana na kila cku wanaume kuumiza wanawake nimeamua kutumia fursa hiii kumtafuta serious man ambaye atakuwa na hekima maarifa ya maisha na awe mcha mungu!welcom atakaye kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.