natafuta mwanamke (dodoma tu) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta mwanamke (dodoma tu)

Discussion in 'Love Connect' started by chelsea fc, Sep 12, 2012.

 1. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 835
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  mimi ni mwanaume 27yrs,nahitaji mwanamke wa kuwa nae na baadae awe wife awe chini ya miaka yangu,dini yoyote ila mimi nakula kitimoto!sharti apatikane dodoma na awe free kuonana nami!
   
 2. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 835
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  mimi ni mwanaume 27yrs,nahitaji mwanamke wa kuwa nae na baadae awe wife awe chini ya miaka yangu,dini yoyote ila mimi nakula kitimoto!sharti apatikane dodoma na awe free kuonana nami!

  nitumie no yako kwenye PM
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  nina mpango wa kuhamia dodoma, na mimi siruhusiwi kula kitimoto, ila huwa nalia chumbani. usijali kuhusu umri nitabadilisha cheti ili niwe chini yako.
   
 4. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,403
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Andika utaratibu wako toka unaamka asubuhi jumatatu hadi ucku na jumanne hadi jumapili akishaona unavyospend siku zako ataona unamfaa icje ikawa ijumaa jioni unaenda kwenye mkesha wa maombi yeye anaenda mkesha wa kidole juu hamtafika mbali...
   
 5. m

  mob JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  mkuu kwa dodoma huwezi kosa.ngoja vyuo vifungue kuna chuo cha mipango,st john,cbe,udom huwezi kosa hapo
   
 6. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Jidadavue zaidi maana Profile haijajaa, Elimu Kazi. ili nikuunganishie na wanaotafuta wachumba humu JF na ni wakazi wa Dodoma.
   
 7. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Dodoma huwa wanapatikana sasa wakati wa bunge. Vuta subira!
   
 8. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Mtachelewa kupata mafao nyie,shauri yenu,bora utafute wa above 40yrs
   
 9. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 835
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  ndio maana ulijiita kaunga coz unapenda kuunga unga sana mambo,anyway we njoo mi nipo tayari kuwa nawe,coz nina haaaaamuuuu
   
 10. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 835
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  nipo ki utaaamu zaidi,40 yrs utamu utakuwa umesha malizwa zamaani
   
 11. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 835
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  we niunganishe tu,nitajidadavua kwenye PM au akisha nipa no.
   
 12. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 835
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  aliye tayari jamani nipo seriouz,love ya!
   
 13. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 835
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  duuh mbona isue!
   
 14. b

  bagi JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  polee nenda makole au udom kabandike matangazo yako utafanikiwa
   
Loading...