Natafuta mwenza (mme)

Status
Not open for further replies.

Janet pen

Member
Jul 28, 2012
6
6
Am looking for a husband,

Sifa: mwembamba kiasi, mrefu, awe msomi at list first degree, independent mind, caring, mwaminifu, charming, mwenye hofu ya Mungu, christian, smart in everything, mwelewa, gud thinking capacity(IQ), miaka 30 - 45, wa kawaida sio mbaya sana awe mzuri kiasi chake, awe romantic, anayejua maana ya mahusiano, kupenda, kujitoa etc, asiye mwenye gubu, wala asiwe mgomvi, mimi ni wa kawaida tu ila nina sifa zinazofana na hizo.

Nina miaka29. namba yangu ni 0762 ......
 
duh na namba umetuwekea, ingekuwa sio mwezi mtukufu na kuogopa kuharibu swaumu, mbona ningekuendea hewani tena kwa jina la kilokole. Ww unatafuta kudanganywa tu sasa.
 
Hatukatai mtu kutafuta mchumba kwa njia hii, lakini kweli hapa unatafuta mchumba au mtu anakuja kuomba kazi kwako? Hizi sifa mbona ni nyingi sana? Utamlipa shilingi ngapi kwa mwezi??!

Sorry napita tu ....
:violin:
 
Kiruuu! mwanaume mwenye sifa zote hizo utamtoa wapi?tena kwa huo umri unaotaka wengi wameshaoa,labda uende sayari nyingine..kila la kheri!
 
Nyie mnaomdiscourage ndo mmeoa wapo wengi tu kuanzia 30 mpaka hata 50 wanatafuta eti alikuwa wapi?Alikuwa anatengeneza kwanza priorities zake .Halafu my dear kuwa makini zingatia ushauri wa Me370 huku utaishiwa tu kutapeliwa shauri zako.
 
kila la kheri kwa uwamuzi wako wa busara ni muda wako mzuri sana wa kupata mwenzako na hata haujakulupuka.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom