Natafuta rafiki wa kike

mwathu

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
403
210
Mimi ni kijana wa kiume natafuta rafiki wa kike (sio mapenzi) kwa ajili ya kushauriana na Kushare mambo mbali mbali ya kimaisha. Ni vyema rafiki huyo akawa na umri kati ya miaka 18-25 na elimu ya Chuo, mchamungu na kama ameajiriwa ni vizuri zaidi.

Kwa alie tayari ani PM nitampa namna nzuri zaidi ya mawasiliano.

karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom