Natafuta wa kushirikiana naye raha na shida za dunia.

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Mimi ni mwanaume,miaka 28,mkristo na SIKO tayari kubadili dini au kuwa na ndoa ya mseto, ni mrefu, mweupe,siyo mwembamba wala mnene, elimu yangu ni chuo kikuu, nina kazi inayoniwezesha kula na kulala kwa amani. Nahitaji mwanamke mwenye upendo wa kweli, mrefu, mweupe au maji ya kunde, asiwe bonge ila awe anavutia machoni pangu ili kunitamanisha kwake muda wote. Awe na elimu kuanzia form six. Awe mtu mwenye mawazo ya kutafuta na siyo kusubiria single source ya mapato, umri wake usizidi 28, makabila ya wapenda ngoma za kila wiki mtanisamehe kwa kweli. Karibuni kwa pm ili tuweze kuwasiliana. Angalizo: nahitaji MWANAMKE si MSICHANA MKUBWA!!
 
Makabila gani hayo ya wapenda ngoma, kaka mimi nipo tayari kushirikiana kwenye raha, shida mmmmh
 
Makabila gani hayo ya wapenda ngoma, kaka mimi nipo tayari kushirikiana kwenye raha, shida mmmmh

dada yangu kuna makabila kila siku wanakesha kwenye mdundiko, segere nk. Mi hao siwawezi. Kuna tabia ambazo hazienezwi kwa watoto lakini kuna taratibu ambazo mtoto kazizoea toka akiwa mdogo, kuacha ni ngumu. By the way unakaribishwa kwani hizo shida utazizoea taratibu. Tutaanzia kwenye raha na kuelekea kwenye shida exponentially, loh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom