Natafuta rafiki wa kike

Mbuty

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
411
236
Habari JF, mimi ninaitwa Colins ni mvulana umri wa miaka 27,nimehitimu degree ya kwanza pale Chuo cha Usimamizi wa Fedha mwaka jana na kwa sasa niko na kampuni yetu ndogo ya kuwasaidia wakina mama wajasiliamali kwa kuwapatia mitaji. Mmi ni Mkristo,mrefu,mwembamba,mweusi au wanaita maji ya kunde,ninazungumza kiswahili vizuri pamoja na kingereza safi,najifunza kifaransa pia. Ni mcheshi,mtaratibu na rahisi kuendana nae,Napenda kuogelea haswa bichi,kutembea,kusafiri,kuimba pia ninaimba gospel lakini,kusaidia pale napoweza na pia hupenda kuwaona watu wakiwa na furaha na amani. Ninaishi Tabata,Dar es Salaam. Hivyo kama utapenda tafadhari nitumie ujumbe wa maandishi na will start from there. Asanteni sana na karibuni. My email wvevee@yahoo.com or +255 779 135 909. Cheers!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom